SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Kumbe na jamaa wanajibu mapigo pia? Leta habari kaka hakuna kulala hii 🙏
Wamerusha drone, but zimekua intercepted

Hakuna kulala. Mimi ni shabiki wa Oklahoma City Thunder OKC, Leo muda mchache ujao (saa tisa na nusu) tuna mechi nyingine ya fainali vs Pacers, hivyo siwezi kulala sababu nasubiri show ya Shai Gilgous na Jallen Williams wakipambana na kina Tyrese Halliburton na Paskal Siakam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…