SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

No sympathy, the game is the game
 
Lipigwe bomu hospital asife mtu aisee daah kazi ipo hata kama ni ushabiki wenu huu ni kiboko..
 
Iran na yeye anaharibu kila mara kutoa taarifa, vita kipindi inaanza Israel alishtukiza, hio nuclear reactor ya Dimona Iran haipaswi kutoa angalizo, waweke vyuma tu... Iran nao wanazingua wakati mwingine... wanatoa taarifa kila muda adui anajipanga..
Ndiyo kosa la muarabu midomo yao ipo wazi sana ...hapo ilitakiwa vitendo kuongea au unaowapiga wenyewe walie yalaaaa na kuanza kusema wenyewe muiran analopoka sana
 
Mbona maelezo mengi Iran ni muarabu au sio muarabu?
 
Mbona maelezo mengi Iran ni muarabu au sio muarabu?
Mimi nilipo sema tatizo la waarabu nilimaanisha asilimia ya mataifa ya kiarabu ya kiislamu na iran anafuata huo mtindo kosa lipo hapo kumbuka walivyo piga kambi za jeshi la marekani kule iraq waliwaambia wamarekani kuwa watapiga hiyo kambi na kusababisha madhara kuwa madogo huo ndiyo upumbavu wa waarabu wote na waislamu.
 
Sawa lakini Iran sio taifa muarabu
 
Aingilie mara ngapi???,huo mpango wote ni USA huyo Israel ni puppet tu kwa lugha nyingie USA na intelligence yake iliyopo hapo Tel viv ndio imezidiwa.
Kila kitu ni mpango wa USA, basi kama ndivyo, kwa nini asipigwe USA

Kama ni hivyo, basi Marekani anaogopewa na dunia nzima?

Kule kwa Russia mlisema USA yuko anaongoza mapambano huko Ukraine

Leo Iran na Israel wanapasuana, bado mnasema anayepigana ni USA na siyo Israel

Mbona sasa ni upumbavu huu, kwa nini hizo nchi zisimpige moja kwa moja huyo Marekani?


Israel alianza na wafadhiliwa wote wa Iran, na lengo ni kumfikia mfadhili mwenyewe, leo mnasema ni Marekani yuko vitani siyo Israel...?

Wendawazimu huu
 
Iran ngonjera zimekuwa nyingi Sana. Ni kama wanaji-expose kwa Adui......... Badala ya kufanya kweli kimya kimya wao wanaendekeza mipasho. Haya, siye mashabiki tutaendelea na tolling tu. 🔥🔥💣💣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…