muajemiMbona maelezo mengi Iran ni muarabu au sio muarabu?
Mkutano wa diplomasia leo unaendela huko Geneva akiwemo waziri wa mambo ya ndani ya Iran na wakuu wa UlayaHaki hii ni balaa, Hii ni Telaviv na Haifa kweli?
Makombora ya Iran yameleta uharibifu mkubwa sana
My take: Wanaoumia na hii vita ni raia wa kawaida kati ya mataifa hayo mawili
Hivi inamaana nchi nyingine zimeshindwa kabisa kuwaambia hawa watu waache kupigana??
View: https://x.com/WarMonitors/status/1935657429225669023?s=19View attachment 3376526
Kwamba wanamuomba msamaha Iran kimya kimyaMkutano wa diplomasia leo unaendela huko Geneva akiwemo waziri wa mambo ya ndani ya Iran na wakuu wa Ulaya
Israel ili underestimate nguvu ya Iran, bila kujua kuwa Iran ni moja ya Nchi zenye technoligia ya juu kabisa ya kutengeneza drone. Nchi nyingi zikiwemo Urusi, zinategemea kupata drone za kisasa kutoka Iran.
Israel inaweza kuwa na kifaru cha kisasa cha dola 2000,000 kikapigwa na kusamabaratishwa na drone ya dola 50,000 (matokeo makubwa kwa gharama kidogo).
Kama sio kutegemea Marekani kwenye hii vita; Israel haina ubavu wa kupigana na Iran
Diplomasia itumike vita iisheKwamba wanamuomba msamaha Iran kimya kimya
USA teyari kasha kua msaliti Israel inapaswa kusaidiwa hata na baba wa kambo mkuu..Naona UK,France na Germany wameandaa kikao Geneva kuzungumza na Iran foreign ministry leo ijumaa.
Ila hiki kikao wanahofia USA asije akaingilia.
Hii imekaaje wakuu?
Mbona EU wanataka ku act pasi na USA?
Mimi sioni sababu za msingi za Israel kuanzisha hii vita?
Hata hivyo, Israel ili underestimate nguvu ya Iran, bila kujua kuwa Iran ni moja ya Nchi zenye technoligia ya juu kabisa ya kutengeneza drone. Nchi nyingi zikiwemo Urusi, zinategemea kupata drone za kisasa kutoka Iran.
Israel inaweza kuwa na kifaru cha dola 2000,000 kikapigwa na kusamabaratishwa na drone ya dola 50,000 (matokeo makubwa kwa gharama kidogo).
Kama sio kutegemea Marekani kwenye hii vita; Israel haina ubavu wa kupigana na Iran
Itakua jamaa wameshtuka kuwa USA ndo analeta shida hapa duniani, afu yeye hana madhara yeyote hizi vita anazoanzisha hazigusi ardhi ya marekaniNaona UK,France na Germany wameandaa kikao Geneva kuzungumza na Iran foreign ministry leo ijumaa.
Ila hiki kikao wanahofia USA asije akaingilia.
Hii imekaaje wakuu?
Mbona EU wanataka ku act pasi na USA?
Ni Kweli Iran kwa sasa hawezi kurusha makombola mengi sababu kadoda, Launcher za makombola hayo mengi yameangamizwa na Jeshi la Israel huko Iran hivyo Iran haina uwezo tena wa kurusha makombola 300 au 200 kwa siku moja.Iran wameshazichosha ADs za Israel, hivi sasa hwana haja ya kurusha makombora mengi tena.
Sasa viongozi wa EU wao wanaona vita iishe ndio maana wameitisha kikao na wizara ya nje ya Iran Geneva.USA teyari kasha kua msaliti Israel inapaswa kusaidiwa hata na baba wa kambo mkuu..
Hata mimi imenishangaza hii aisee.Itakua jamaa wameshtuka kuwa USA ndo analeta shida hapa duniani, afu yeye hana madhara yeyote hizi vita anazoanzisha hazigusi ardhi ya marekani