Best_Carmine
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 897
- 1,439
Kilomita zaidi ya 900, ungesema kujaza mafuta sawa ila kuhusu kupiga zinapigwa zikiwa iran, we launchers utazitarget vipi uko IraqKutoka mpakani mwa Iran na Iraq ni km ngapi?
Sio Kila shambulizi ndege zinaingia angani mkuu.
Mleta taarifa akatoa taarifa kiufupi.Mbona kaenda hizi sources mnatoa wapi
Na huyu jana kidogo Israel apite naye
Kwani tatizo liko wapi? Kwa taarifa yako ndege Zach F-35 zinafuata same same science principles zinazo tumika katika urushaji wa ndege, hakuna change kusema sijui hizi ndege zinaundwa: Sijui Merikani Urusi au Uchina!!Mkuu ulizitungua wewe
Iran naye mbona kaenda na alisema haendi mwenyewe pia kachapika, vita haina mwenyewe kijanaAnachapwa Mbwa wenye mbwa wanaanza kupiga kelele
View: https://www.instagram.com/p/DLHaS70KDTf/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==
Jibu mujarrabAnachapwa Mbwa wenye mbwa wanaanza kupiga kelele
View: https://www.instagram.com/p/DLHaS70KDTf/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Iran naye mbona kaenda na alisema haendi mwenyewe pia kachapika, vita haina mwenyewe kijana
Iran imekubalika kuzungumza na EU members sio USA Wala Israel.Iran naye mbona kaenda na alisema haendi mwenyewe pia kachapika, vita haina mwenyewe kijana
Yaani teknolojia inayotumika kutengeneza fighter jets kama f 35 ni the same na ile ya kutengeneza Airbus au boeing na hakuna change yoyote🥲 Dah jamani punguzeni ubishi huu muda unaotumia kubishana usilolijua bora ungetumia kutafuta maarifa juu yakeKwani tatizo liko wapi? Kwa taarifa yako ndege Zach F-35 zinafuata same same science principles zinazo tumika katika urushaji wa ndege, hakuna change kusema sijui hizi ndege zinaundwa: Sijui Merikani Urusi au Uchina!!
Mkuu mbona una makasiriko sana 😄😀😀 karibu sana tela vivuInaonyesha wazi hujui una hokishabikia!! Kama Iran ana nguvu kuizidi Israel inakuwaje sasa ndege za Israel z inaingia na kutoka bila shida huko Iran?
Nakushangaa kwa kusifia Air defense za Iran ambazo zimeonyesha wazi hazifanyi kazi maana hazijaweza kudungua ndege yoyote ya Israel wala kuonyesha upinzani wowote kwa ndege-vita za Israel. Unachokifanya wewe ni ushabiki uliokuwa na maana yoyote.
Iranian Foreign Minister: As long as the aggression and invasion do not stop, there is no meaning to talk about dialogue with AmericaMbona kaenda hizi sources mnatoa wapi
Na huyu jana kidogo Israel apite naye
Acha Porojo hizo habari wewe umezitoa wapi hebu tupe hiyo link au Source ya hiyo habari nijuavyo mimi Iran amerusha kombola huko Bersheva na kombola hilo likaangukia sehemu ya wazi na kuunguza magariHuo ndio ukweli, kwa sasa Israeli hakuna tena sehemu salama, Irani imeonyesha uwezo wa kulenga mahali popote pale ndani ya Israeli.
Leo tarehe 20/06 aubuhi tumeona taget kituo cha wanasayansi kimeharibiwa vibaya sn
wananchi wa Israel wanamuomba Kiongozi wao Netanyau aachane na vita.
Iran imekubalika kuzungumza na EU members sio USA Wala Israel.
UK,France na Germany ndio waliomshawishi aje Geneva ndio AKAENDA.
Kuna pigo linakuja kobaz wote mtafunga vinywa.Israel kajiandaa kaanzisha vita kwa kushtukiza na bado anapata tabu aisee angekua anawaza vizuri angewapotezea hao waajemi maana sio watu kabisa..
Araghchi: Iran ‘not prepared for talks’ while Israel’s attacks continueIranian Foreign Minister: As long as the aggression and invasion do not stop, there is no meaning to talk about dialogue with America
The IRNA news agency quotes Iranian Foreign Minister Abbas Araqchi as saying: "We have made it clear unequivocally that there is no room for dialogue until the aggression stops, and we have no dialogue with America as a partner in this crime."
According to the report, since the start of the war, the Iranian Foreign Ministry has held frequent contacts with foreign ministers of about 30 countries. The Iranian president has also spoken with several heads of state. "I spoke with the UN Secretary-General and requested an emergency meeting of the Security Council and sent him a letter - as a result, the meeting took place last week. And this week, at the request of China, Russia, Pakistan and Algeria, a group of Security Council members will convene," Araqchi said.
He said that an emergency meeting or discussion on the issue of the attack on Iran will be held on Saturday at the meeting of foreign ministers of the Organization of Islamic Cooperation (in Turkey).
"To those senior officials in various countries who, for good reasons, call for a return to diplomacy, I say – we were already in the midst of talks. Where exactly do you suggest we return to?" Araqchi added.
(NTD)
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Unaijua ile nyimbo ya natamaniKuna pigo linakuja kobaz wote mtafunga vinywa.
Umesoma maelezo hadi mwisho?Iran says it’s ready for nuclear talks when ‘Israeli aggression stops’
These were the updates on Israel’s attack on Iran for Friday, June 20.aje.io
Soma io sababu niliona neno anyone
Sio kusoma tu ameelewa?Umesoma maelezo hadi mwisho?