SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Iran kwa mwaka anaproduce wanasayansi 300000 Hadi 400000
Laki tstu hadi laki 4 kwa mwaka?? Maana yake kwa miaka 10 wameproduce wanasayansi around million 4?

Chumvi hii mkuu
Ndo maana nimemueleza wanasanyi wa Nini?
Maana kupata wanasayansi wa nuclear na atomic ,
Ni ngumu sana na duniani wataaramu wa maswala hayo ni wachachesana.
North Korea yenyewe kutengeneza nuclear bom walitumia wanasanyansi wa Soviet. Hawakuwa wanasayansi wao.
 
Labda jamaa anahesabu hata walimu wa sayansi wa shule ya msingi
 
Wanaolengwa ni nuclear scientist. Au kila scientist ni nuclear scientist?

Pia mkuu Tanzania kwa mwaka Kuna gradutes zaidi ya 2500 kutoka engineering courses
kwa tafsiri yako wewe Tanzania kila mwaka tunaproduce wanasayansi zaidi ya 4000??

Sio kila gradute wa engineering anaqualfy kuitwa scientist

Idadi ya scientists kwa Iran ni 56000
 
Ni kweli chief kupata wataaramu ni ngumu sana
Lakini kupata wataalamu wanapatikana ndo maana bado nuclear inazalishwa duniani.
 
Mhandisi ni msomi wa sanaa
 
Unaogopa sana nuclear, nuclear siyo sayansi ya maana kama unavyodhani,makamu wa rais dr gharib Bilal alisomea hiyo,hapo udsm nawajua watu wamesomea hiyo na wala hawakutisha a level
Kama unaona ni rahisi peleka watoto wako wakasome.
Aaaaaaass
UDSM nuclear science aaaaaaaaaaaa
 
Kwanza anaamini kila gradute wa engineet ni scientist.
Pili ameshindwa kuelewa Wanaolengwa ni nuclear scientist.
Tatu, according to Ad scientific index Iran wana scientists 56000. Number ambayo ni very reasonable
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…