SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Hizo arrow 3 zinamsaidia nini mpaka mda huu?asilimia kubwa ya watu mmeshapigwa makombora ya misinformation and deception, kibongo tunaita mmelishwa unga wa ndere, hamuoni wala hamsikii kwa Israel
 
Wewe unaweka namba a graduates of engineering na kuwaita scientists wakati si kweli kila engineer ni scientist
AD scientific index ineonyesha kuwa duniani Kuna scientists mil 2.6
 
Hizo arrow 3 zinamsaidia nini mpaka mda huu?asilimia kubwa ya watu mmeshapigwa makombora ya misinformation and deception, kibongo tunaita mmelishwa unga wa ndere, hamuoni wala hamsikii kwa Israel
Utaelewa imasaidia vipi ukilinganisha makombora Iran aliyorusha na yaliyotua ardhi na jaribu kuwaza kama yote yangefika ingekuaje
Mbona mna maswali hayana kichwa wala miguu
 
Wishful thinking.
Ingekua Iran Haina uwezo wa kupambana na Israel asingekua anaomba msaada wa Magharibi na USA.
Sema we jamaa nilishakuzoea mbishani huna fact zaidi ya kubisha.
We una facts gani
 
Al aqswa ni sehemu tukufu ya Uislam ambayo inaheshimiwa na waislam woote ikiwemo hadi Shia.
Kama dini zenyewe ndizo hizi bora hata zisingekuwepo somehow ukiristo ila uislamu ndio miongoni mwa vyanzo vikuu vinavyondoa amani duniani
 

Mkuu kimbuka tunazungumzia science ya kijeshi hasa atomic na nuclear , ukija kwa ujumla kwa.
NOTE.
Kwa sasa china na India ndo wanaongoza kwa science.
Kimbuka hapo chini wamesema no data for china na India.
Pia hio ni ya 2015 wameandika hapo chini.
Ni ya 10 years ago.

Kwa data za sasa.
China, India , USA , ndo wanaongoza
Na mataifa mengine.
Tafuta current data.
 
Haitafeli ila betri zake ndizo zitaisha kulingana na uchambuzi niliosoma BBC news, kutokana na storage walikuwa nayo kidogo
 
We mwenyewe katafute data india hana technology ya kumzidi USA hata 5 bora hayupo, huyo hamfikii hata japan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…