SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Najua haiwezekani lakini natamani sharti la kwanza la kusitisha KIBONDO liwe kumtaka Nyeta aiombe samahani IRAN live huku akiwa amepiga magoti.
2. Awaombe samahani waathirika wote wa GHAZA
3. Asitishe kuishambulia GHAZA na kuondoka maeneo yote anayoyakalia kimavu hapo Middle East
4. Akubali kuitambua Falastin naaahidi kuacha uchokozi wa aina yoyote dhidi ya ardhi ya jirani yake.
5. Aahidi kuridhika na ardhi aliyopewa 1948 na kuhamisha masettlers wote walioko kwenye ardhi aliyopora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…