SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Waziri wa mambo ya nje wa Iran anasema wapo tayari kutumia diplomasia endapo Israel itaacha kushambulia Iran
Huuu ndio Ukweli !!!

Ukitaka kujua kwann Iran ndio BABA wa Technology !!!

Wazungu wamekwama Kitechnology kwa Iran na ivyo akuna Mzungu ataingilia iyo Vita Si Tramp wala Ulaya !!!

Iyo Vita inaenda Sasa Wazungu watakuwa wanaumia sana lkn awana cha kufanya Kijesh !!!https://www.jamiiforums.com/attachm...2351006&hash=ff293c9ce29823c509f7bbc0d2cdf7e7

zaid ni iki wanachofanya sasa kuongea ili kuitoa ISRAEL kwenye Mdomo wa Iran !!

Sawa tu na Palestina inapigwa na Waarabu awakuwa na lakufanya leo tunashuhudia kwa ISRAEL ikipigwa na akuna wa kusaidia ,

IRAN NI TAIFA TEULE OG..
 
Sawa mkuu tusubiri baada ya muda tutajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…