Kati ya waislam na wakristo ni kundi gani lina watu wengi ndani ya Israel?Ndiyo maana nilikuuliza hivyo ndivyo ulivyo karirishwa?
Nchini Israel ni kosa kwa mtu yeyote kumtemea mate na ukipatikana unafungwa miaka mitano na faini juu!!!
Kuna clip inayosambazwa na Wafuga Midevu na Majini ambayo ndiyo inatumika kama Propaganda kutaka kuonyesha wayahudi ni watu wabaya sana. Hizo ni Propaganda uchwara tu.
Nakuambia hivyo kwa sababu mimi mwenyewe nilienda huko April 08,2025 na nimerudi June 08,2025 nimeona kwa macho yangu kuwa tunayoambiwa na Wafuga Midevu na Majini ni uongo uliopindukia.
Unataka kwenda kutambika??? Au unataka kwenda kuanzisha vita ya Waislam na Wakristo??Kati ya waislam na wakristo ni kundi gani lina watu wengi ndani ya Israel?
Hebu amka kutoka usingizini usije
Mi naona ni bahati mbaya kuliko nzuri. Sawa wengi ni wa asili ya Uajemi, na waarabu ni kama 1-2% tu ya population, na hapo kati kuna makabila mengine kibao, ila tusisahau inapokuja imani ya kidini ni ngumu kujihakikishia suluhisho moja. Irani ni moja ya mataifa ambayo composition ya dini ni almost 100% muslims, hakuna composition kama hii hata katika nchi za kiabrabu.Bahati nzuri au mbaya Iran sio waarabu.
Wale wakristo wa Kijitonyama mna lipi la kusema?
View: https://www.instagram.com/p/DLIxExXi7pj/?igsh=MW5oZDliejE1MTU2cA==
Kwa majibu haya ndo nimeelewa kwanini umeweka picha unacheka kama chiziUnataka kwenda kutambika??? Au unataka kwenda kuanzisha vita ya Waislam na Wakristo??
We ready to hear from you brotherBack again, get ready for the updates
We are ready to hear from you brother, give us more updatesBack again, get ready for the updates
Zingine sio picha halisiShikamoo Iran mmejua kutueshimisha.kiukweli hatuna deni na nyinyi
Iron dome ikiteketea kama bua vile π€£π€£π€£
Hii haipaswi hata kiwa discuss. Israel ni taifa la kiyahudi kuna mtu hajui hilo? Hata Yesu alikuwa muyahudi.. so waislam na wakristo ni minoritiesIsraeli, waislamu ni wengi kuliko wakrisko
Kwa hiyo iweje sasa kwa kuwa waislamu ni wengi na Wakristo wachache huko Israel?Israeli, waislamu ni wengi kuliko wakrisko
Picha nyingi ambazo zinawafurahisha hawa ndugu zetu ni AI zinazotengenezwa na wa mitandaoni au na watu au serikali ya Iran kujionesha nao wanafanya jambo la mana. Must be sad kufurahishwa na propaganda. In reality, Iran iko weaker hata kuliko Hezbollah na Hamas.
Kwa update umebaki wewe Tu humu maana pro kobazi na Pro makafiri wanaficha ata wakiona video wamebutuliwa upande wao wanakataaBack again, get ready for the updates
ππππππPicha nyingi ambazo zinawafurahisha hawa ndugu zetu ni AI zinazotengenezwa na wa mitandaoni au na watu au serikali ya Iran kujionesha nao wanafanya jambo la mana. Must be sad kufurahishwa na propaganda. In reality, Iran iko weaker hata kuliko Hezbollah na Hamas.
Pole sana.Hebu amka kutoka usingizini usije kujikolea Mkuu