MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Jambo la pekee ni kuwa Israel inayo hayo majina na pengine wao ndio walipendekeza baadhiTaarifa zinasema sababu ya Israel kuaandaa assassination yake, Ayatollah Khamenei amependekeza majina matatu mmoja wapo awe mrithi endapo assassination itafanikiwa. Anayepewa nafasi kubwa ni mtoto wake Mojtaba Khamenei
View: https://x.com/clashreport/status/1936379509487386817?t=mCMJUZ6FqgJskzZWn11pGg&s=19
Kwa sasa hivi picha na video nyingi zinaweza zikawa ni uhongo sio iran sio kwa Israelkwa teknolojia iliyopo, usiamini picha kwa asilimia zote
siku ikitokea Nchi flan kutaka kuikomboa Tanzania toka kwa kaburu Mweusi.. Ccm watatumia uwongo huu huu kuwa wanatolewa madarakani kwasababu wanalinda dhahabu ya Nyamongo.Huku kwetu tunawapa wenyewe ndio maana hawatumii nguvu... Siku tukijitambua ndipo utaona wanaanza kututishia na silaha za moto na vikwazo
Mkuu tunashukuru sisi ambao tulikufuatilia Tangu mwanzoni tunaelewa ,Tusubiri
Rafiki yangu Israel bado hafany hilo kabisa. Ukianza kusikia wameanza kuongelea sana habari za watoto, makambi ya watu na watu kukosa chakula na maji ujue tayari mayahudi yapo kazini. Kwa sasa wanapiga tu target zao baada ya hapo wataingia mtaani. Hayo unayoyasema ni sawa ila sio kwa kiwango tulichoona kule Gaza.Kumbe Israel bado haijaanza kuangusha vitu kwenye miji ya Iran. Kumbe Hospital, television na mfumo wa maji taka wa Tehran vyote hivyo vilipitiwa na kimbunga au tetemeko la ardhi siyo vitu vya israel
Weka chanzo cha hizo habari zako kwa sababu hakuna chombo chochote cha habari kilichotangaza hadi sasa.🚨 Breaking: General Abdul Rahim Mousavi, the newly appointed Chief of Staff of Iran's Armed Forces, was eliminated.
His predecessor was eliminated eight days ago.
Ebu nifafanulie; Iran na N/korea zina uchumi gani hadi kuwa Tishio kwa Nchi zap Magharibi?.Japo siyo mtaalamu wa hayo mambo ila nitajibu kwa ufahamu wangu mdogo.
Kwa kawaida mtawala huwa anazuia kuibuka kwa watawala wapya watakaoangusha utawala wake. Ndio maana nchi yoyote yenye uwezo mkubwa kijeshi na mlengo tofauti na NATO inapoanza kuinuka kiuchumi huwa ni kitisho kwa wakubwa, hivyo lazima izuiwe kutumia rasilimali zake ipaswavyo ili isije kufanikiwa kiuchumi. Bila uchumi mzuri, jeshi ni kanyaboya tu. Ndio maana nchi ambazo zinainukia kijeshi zikiwa kinyume na NATO huwa zinakumbana sana na vikwazo vya kiuchumi na machafuko za kijamiaa k.m uasi na mapinduzi. Nchi yoyote ikishajiweza kijeshi na kiuchumi inakuwa untouchable
Nchi maskini zenye rasilimali siyo kitisho kwa nchi zilizoendelea maana wanajua wanaweza kuzi-control na hizo rasilimali haziwezi kuzisaidia hizo nchi kuwapiku wao na pia wakizihitaji muda wowote watazipata
B-2 bombers zimeonekana zikiruka huko usawa wa kisiwa Cha guam
Je zitaenda kupiga fordow? marekani wapo tayari kupiga? Tusubiri
View attachment 3377730
Nimeshindwa kutafsiri vizuri, kwa wanaolewa hiyo lugha vizuri sana wataweza.
Tafsiri isiyo rasmi: Tasnim news inatoa taarifa ya kifo cha kamanda wa jeshi Iran
Kuna vijihabari vinatoka twitter huko mtu anajiandikia tuu bila ushahidi wowote ,Weka chanzo cha hizo habari zako kwa sababu hakuna chombo chochote cha habari kilichotangaza hadi sasa.
Moja ya source anayo leta humu ni jamaa self claimed mwenyewe ni zionist yupo Israel, utapata habari ambayo haina Bias toka kwa Zionist?Hako kajamaa source zake itakua anazitoa kwa wayahudi wa bonyokwa
Ok ahsante nilishindwa kuelewa ndio maana niliicha kutafsiri
Nililueleza sources natumia zote kuanzia za pro Iran, pro Israel, walio neutral na credible media sources. Huwezi kutumia pro Iran tu au pro Israel tu. Mfano unategemea hao open source Intel wataonyesha impacts za makombora ya Iran?? He kupata picha na videos si lazima nitaenda kwa pro Iran na media credibleMoja ya source anayo leta humu ni jamaa self claimed mwenyewe ni zionist yupo Israel, utapata habari ambayo haina Bias toka kwa Zionist?
View attachment 3377740
So atadanganya watu ambao hawapo informed