SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Acacia ilikua ya bush family,mzozo na magu shareholders wakaleta vurugu, barrick wakainunua acacia, kampuni za south africa ulizozowea kuziona zikichimba madini tz ni matawi ya makampuni ya kibeberu ulaya na marekani
Vurugu za venezuela zinatokana na marekani kuyataka mafuta ya venezuela ambayo ni mengi kuliko sehemu yoyote ile, venezuela ni kambi ya mashariki
Brazil huwa ni mashindano baina ya mashariki (brics)na magharibi kuweka mtu ikulu
 
Ili kubalance habari na ww uwe unaleta update za kwako zikiwa na source news ili kupingana na huyu usiemuamini..
....
 

Attachments

  • Screenshot_2025-06-21-15-05-55-778.jpg
    256.4 KB · Views: 17
Nashukuru kwa kukiri chanzo chako sio reliable.
 
Mkuu hii habari inasemaje
Shirika la Habari la Tasnim
Kifo cha Mashahidi 5 wa Walinzi wa Mapinduzi katika Mkoa wa Lorestan
Wanachama 5 wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu waliuawa shahidi asubuhi ya leo huko Khorramabad, Mkoa wa Lorestan, kufuatia uchokozi wa Israeli.
Majina ya Mashahidi:
1- Shahidi Mtukufu Sajjad Madhani
2- Shahidi Mtukufu Hamid Aghaei
3- Shahidi Mtukufu Samad Lorestani
4- Shahidi Mtukufu Abbas Sharafi
5- Shahidi Mtukufu Alireza Sabzipour.
@Tasni
mNews
❤️ 3
 
Sharpnel ina acha mlipuko kama huu?

View attachment 3377638
Uyo jamaaa kazi yake kuwafuraisha Walokole wenzie !!

AnajidaI kama anatoa Habari pande zote lkn muhuni tu wa kilokole kutoka Mwembe Togwa.. !!!

Habari za Iran kupiga 5 % za kupigwa 95%

Sasa tuje kwenye ukweli wa matokeo unagundua miji ya Israel ndio imechakaa zaid . Walokole wa Tz tatizo sana.
 
Nashukuru kwa kukiri chanzo chako sio reliable.
Elewa kuwa sio chanzo changu, ni habari chache Sana naweza kuchukua kwao. Mfano wao wana masaa zaidi ya 12 hawajatoa taarifa yoyote, na pia si kila taarifa wakitoa nitaiweka sababu najua zipo ambazo wanaweka hisia Kama ambavyo wewe hufanya
 
Mkuu tumekukataza Ku engage na Pro kobazi na Pro makafiri wanataka kusikia habari wanazo zipenda Wewe weka update Tu ndege za mazayuni zikinya Moto Tehran weka kobazi zikirusha vimondo weka

Haters watachukia tu Haijalishi uta explain kiasi gani ogapa Sana Mtu anae ongozwa na dini kuhusu jambo frani ata kama ame elimika na ma PhD Bado ataongea upumbavu kutetea upande wa dini yake
 
Kuweni wapole, muda huu ni myahudi anatamba ndio maana anapost habari za myahudi tu. Usiku bila shaka muajemi hatakaa kinyonge atafurumusha makombora na yeye ataanza kupost habari za muajemi tu. Ila kama una taarifa za muajemi kupiga kwa myahudi muda huu tupatie ili tupate taarifa za upande wa pili ambazo kwa muda huu zinafichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…