Dah anaye wavujishia taarifa ni nani? Hapo ndp wirani wanapokwamaHili ndio jengo ambalo Leo alfajiri majasusi wa Israel walimuua Saed Izad. Alikua aliishi kwenye hiyo floor ambayo imeharibiwa hapo
View attachment 3377988
Sasa adui so atajipangaWazee tukae mkao wa kula, Jeshi la Iran huko X wameandika..
Tonight, We will strike hard!Stay Tuned....
View attachment 3377998
Nionavyo mimi wengi wao si Mossad, bali ni wasaliti walioamua kuitumikia taifa la Israel kwa maslahi yao binafsi ndani ya IranMossad agent aliyekamatwa akiwa amewekwa kiti moto...
Confession of a Mossad agent to the head of the judiciary: I used to go up to the roof to photograph and send messages about the locations of the anti-aircraft guns.
View attachment 3378000
Umesoma eee Yani kwa mwendo huu mmmh Yani mossad wamejichimbia mizizi huko iran.Dah anaye wavujishia taarifa ni nani? Hapo ndp wirani wanapokwama
Mossad wanatumia wayaundi waliokulia hapo hapo nchini kwako.Mossad agent aliyekamatwa akiwa amewekwa kiti moto...
Confession of a Mossad agent to the head of the judiciary: I used to go up to the roof to photograph and send messages about the locations of the anti-aircraft guns.
View attachment 3378000
Huenda kuna mamluki wengi, maana tarifa zinasema hata huyu mwingine aliyeuliwa alikua kwenye gari na mtoto wake mkubwa wa kiume wanaenda sehemu, wote wamekua assassinatedDah anaye wavujishia taarifa ni nani? Hapo ndp wirani wanapokwama
Iran inawapa hofu wananchi hadi viongozi wa Israel, usiku wasilale.. kuna wananchi wakiona hio post , leo leo wanakimbia nchi..Sasa adui so atajipanga
Hahahaaa ila watu bhana yaan mnashabikia maisha ya vita na kuuana kama vile Simba na yangaWazee tukae mkao wa kula, Jeshi la Iran huko X wameandika..
Tonight, We will strike hard!Stay Tuned....
View attachment 3377998
Inawezekana maana idara ya usalama ya Iran ilimkamata daktri fulani alikua akitoa location ya sehemu fulani fulanj kwa mossadNionavyo mimi wengi wao si Mossad, bali ni wasaliti walioamua kuitumikia taifa la Israel kwa maslahi yao binafsi ndani ya Iran
HUMINT, SIGNINT zinafanya kaziDah anaye wavujishia taarifa ni nani? Hapo ndp wirani wanapokwama
Maana kama wanapata taarifa nyeti namna hivyo hao wanaotoa.Nionavyo mimi wengi wao si Mossad, bali ni wasaliti walioamua kuitumikia taifa la Israel kwa maslahi yao binafsi ndani ya Iran
Hao majasusi wa Israel ni wayahudi au wa Iran wenyewe? Je huwa hawakamatwi? Na je hawaogopi?Kuna assassination attempt majasusi wa Israel wamefanya muda huu mtaa wa geish huko Tehran kwenye floor ha pili jengo la nan sahar
Tusubiri uciku mkuuMbona kimya ghafla leo Iran kaishiwa?
Maneno mengii, kama putin tuWazee tukae mkao wa kula, Jeshi la Iran huko X wameandika..
Tonight, We will strike hard!Stay Tuned....
View attachment 3377998
Si kawaida yao maana kwao kule wanapigika siku nzimaTusubiri uciku mkuu
Itakuwa majamaa wanajua kushawishi kabisa.Inawezekana maana idara ya usalama ya Iran ilimkamata daktri fulani alikua akitoa location ya sehemu fulani fulanj kwa mossad
Ndio tunashabikia kupigwa kwa taifa onevu la Israel, wezi wa ardhi, magaidi na wauaji... pasipo kupigwa hawawezi kuacha.Hahahaaa ila watu bhana yaan mnashabikia maisha ya vita na kuuana kama vile Simba na yanga