SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Unazunguka sana ,Allah wako anasema muwachukie wayahudi

Surat Al-Ma’idah (5:82)

"Hakika utawaona watu wenye uadui mkubwa kabisa kwa Waislamu kuwa ni Wayahudi na washirikina..



Surat Al-Ma’idah (5:51)

"Enyi mlioamini! Msiwafanye Wayahudi na Wakristo kuwa marafiki zenu. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na atakaye kuwa rafiki yao miongoni mwenu, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu madhalimu."
 
Vyuma vinaruka saa ngapi kaka?
Tumepooza sana bana mie staki kulala leo.
 
Kwa maana hiyo idara ya ujasusi ya Iran ni mbovu kuwahi kutokea,ilikuwa hakuna haja ya kuingia vitani na nchi inayokuzidi itntel maana wanapukutika km kuku wa mdondo...
Yani Dunia inashangaa sana mkuu Israel wanafanya lolote wanachojisikia ndani ya iran.
Yani iran ingekuwa Haina missile au drone ,
Israel kungekuwa kimya hakuna chochote kile.

Aaaaaaa daaaa Yani hata kujificha kwao tuu ni shida.
Wanadakwa.

Na cha kushangaza iran ni nchi kubwa sana , sasa unashangaa mossad wamewezaje kupashika nchi kubwa kiasi kile.

Kweli ukubwa wa nchi sio ishu hapa ni akili tu ndo inamata.

Ni sawa na rwanda na drc.
 
wayahudi wana intelijinsia kali mashariki ya kati yote na nchi za kiarabu, na kama suala ni wayahudi kuwepo iran mbona pia waarabu kibao wapo israel?
 
Just in: Trump informed Erdogan of his readiness to send his deputy J.D. Vance and his envoy Steve Witkoff, and even to travel personally to Turkey to meet with the Iranian President.

Source: Axios
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…