Best_Carmine
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 897
- 1,439
Android mkuuUnatumia iOS au android nikupe vpn?
Kuna misaada au usharudi anatafutaIsrael-Iran updates: Israel prepared for ‘long campaign’ against Iran
The US has is moving its B-2 stealth bombers to the Pacific amid speculation around whether Trump will join war.aje.io
Waziri wa Iran wa mambo ya nje Kawa kama zelensky ni mwendo wa kuzurura kama rais wetu bibi samia sahivi jioni katoka Quatar kulalamika anaonewa na kashinda Uturuki
Download hapa.Android mkuu
Taifa kama Quatar litampa msaada gani wakati ndipo kuna kambi kuu ya kijeshi ya USA mashariki ya kati, haya mataifa ya kiarabu yaliyoendelea kuna namna yanashajiweka mbali na wenzake, just imagine Palestine wanavyohaso yapo tu na biashara zao na magharibi zipo kama kawaidaKuna misaada au usharudi anatafuta
Unaongea na nani?Hata Chizi Huwa Hajui Kuwa Yeye ni chizi Jitahidi Kuwaelewa Watu Kwa Jinsi Walivyo
Israel imeshambulia kwa makombora muda mchache uliopita eneo la mashariki mwa Tehran
Kwa alivyopoa leo Iran huenda kweli anapukutishwa.Israel muda huu inashambulia kwa makombora eneo la pars mashariki mwa Tehran
Atarusha tu na yeye makombora baadae, tusubiri hakuna kulala maana Leo Israel wanashambulia siku nzima, so hata Iran pia watataka kurusha makombora mengiNaona Iran kama leo katulia sana
Unaongea na nani?
Ndege vita za Israel aina ya F-35 muda huu zinashambulia kwa makombora maeneo ya
- Qorveh Kurdistan
- East Tehran
- Isfahan na
- Shiraz
Sidhani maana toka asubuhi hajarusha, inasemekana Israel anawinda launchers na missile depots na kingine drone ziko active muda wote hivyo wanakuwa na updates wakiona movwment tu wanashambulia.Atarusha tu na yeye makombora baadae, tusubiri hakuna kulala maana Leo Israel wanashambulia siku nzima, so hata Iran pia watataka kurusha makombora mengi
Kweli wamekukwaza Numbisa, huwa huna mambo mengi, na mara nyingi comment zako huwa ni fupi.Punguza kiherehere kwani nimequote mtu hapo!!!??? Halafu uzi sio wako mxiiiieeewwww
Ameshambulia na anaendelea kushambulia muda huu maeneo yenye millitary base, launchers na maeneo yenye nuclearSidhani maana toka asubuhi hajarusha, inasemekana Israel anawinda launchers na missile depots na kingine drone ziko active muda wote hivyo wanakuwa na updates wakiona movwment tu wanashambulia.
Naona kama lengo lao litatimia.
Huenda wanajeshi wengi sana wa Iran wanakufa katika hayo mashambulizi ni vile hubali siri