Utajuaje? Test za chini ya ardhi utaona tetemeko tu lakini hutojua kama ni tetemeko la asili au ni tetemeko lililosababishwa na majaribio ya nuclear.Mmmmmh ukitest nuke inajulikana tuu mkuu.
Sio flight distance inakuwa fupi kuliko road distance?Ni dar tu kigoma kwa njia ya barabara lakini kwa njia ya anga hizo km ni gepu kubwa sana inafika mpaka kongo.
Ana kiranga leo myahudi, marekani anaingia rasmi mchezoni weekend hii,labda israel anaandaa njia Ili wafike Tehran chapu,wachukue nchiIsrael muda huu inashambulia kwa makombora shiraz
Ok,asije kua ni boxer mwenye mbwembwe,rusha ngumi nyingi,halafu anakula punch moja chaliIsrael imesema kuwa haitasubiri siku 14 ambazo USA katoa kwa Iran
Mbona Iran imepoa sana kaka!?
Inahisiwa hivyo, Kuna sehemu niliona wanasema hivyo kuwa maandalizi kwa ajili ya marekani kupiga fordow. Ngoja tusubiriAna kiranga leo myahudi, marekani anaingia rasmi mchezoni weekend hii,labda israel anaandaa njia Ili wafike Tehran chapu,wachukue nchi
Vipi mzeeiran pumbavu zenu
Ngumu kujua kwa kweli,tungojeMbona Iran imepoa sana kaka!?
Shida nini huko au wamefeli wapi!?
Israel muda huu inashambulia kwa makombora bandar Anzeli
Israel muda huu inashambulia kwa makombora shiraz
Israel muda mchache uliopita imeshambulia kwa makombora kiwanda cha missiles na drones huko hakimieh Tehran
Msemaji wa jeshi la israei, Leta source ya hizi updates..Israel muda huu inashambulia kwa makombora eneo la khoys
Haiwezi kuwa kwa ajili ya fordow tu, silaha zile alizopeleka middle east marekani,kuna vita vyaja,inasemekana Trump atahutubia taifa leo kuingia mzigoni,tusubiri maisha magumuInahisiwa hivyo, Kuna sehemu niliona wanasema hivyo kuwa maandalizi kwa ajili ya marekani kupiga fordow. Ngoja tusubiri
Vidole na macho,staha,hawapendi namna hiyoMsemaji wa jeshi la israei, Leta source ya hizi updates..
Mimi nikisema Samia sasa hivi yuko chooni anakunya, iaminike hivyo ?