SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Safari bado mkuu mida bado
Hamas
Hezbullah
Houth
Sasa anafuata yeye
Ilikuwa lazima apigwe sana.
Israel haja malizana na
i, Hamas bado wapo hapo hapo Gaza alipo pazunguka pande zote

ii, Hezbollah bado wapo hapo kwa jirani yake pua na mdomo

iii, Houthis bado wapo Yemen na warusha vikombora vyao vya kuunga unga kwa kuvuzia kama awali

Mpaka sasa hakuna hata kundi moja alilo lisambaratisha Israel yeye na Iran ndio hivyo bado wana endelea kusutana
 
Hapa inatakiwa Israel asipoe kama masaa 48 mfululizo ili akipumzika anakuja kumalizia tena kwa masaa 48..........ili tendo akilifanya kwa mwezi vita itakuwa imeisha
 
kwa hiyo wayahudi wanaoishi uarabuni na iran ndo wako nyadhifa za juu?
 
Hapa inatakiwa Israel asipoe kama masaa 48 mfululizo ili akipumzika anakuja kumalizia tena kwa masaa 48..........ili tendo akilifanya kwa mwezi vita itakuwa imeisha
Halafu askari wa miguu hapeleki ?
 
Hao wote wamedhoofiishwa kuliko ilivyokuwa mwanzo Hezbullah hakuwa mtu wa kuisikiliza Serikali ya Lebanon ila baada ya mkong'oto saa hizi ana adabu, Houth anakaribia wiki hakuna kombora pale Ben Gurion, Hamas ndo wamebaki kugombea chakula cha wana Gaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…