SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Iran ndio ana makombora ya kufika US, lakini EU waliona kama ni threat, hivyo akatengeneza missiles za ku target maeneo ya middle East...
 
Unajiona unajua mwenyewe wakati umeandika ujinga..hayo makombora yao wsliya-develope lini?kama siyo kabla hujazaliwa.. watakua nayo mangapi?.. kwamba kombora moja ambalo mshadizaini imebaki kufyatua tu itachukua miezi!!?.. tumia kichwa chako vizuri
Tatizo lako upo kishambiki.
Sasa kama wamejiandaa 46 years.
Ndege za adui zinaingia tuu kirahisi tuu
 
Makombora ya Iran yanayoweza kufika Israel ni kati ya makombora 2000 hadi 3000.

Drone zile cheap inagharimu kati ya dola 50,000 na kuendelea, vita is very expensive
Labda kwa data hizo kidogo naweza kuamini.
Kidogo kwa mbaaaaaaliiiiii

Vita ni very expensive
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…