MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Uwezo wao ulikuwaga mdogo kitambo sema, Media za Magharibi zilijuwa udhaifu wa Serikali yao ni kuisifia ionekane ni bonge la jitu...Yes, mashambulizi yalikua ya kulemaza systems za Iran ili papigwe Fordow
But Iran warudi kujipanga, wameonyesha udhaifu kukubali kushambuliwa kwa masaa yote haya
Mnamchochea... Alisema leo atatoa supriseIran asizunguke. Kitendo Cha USA kupiga anapaswa kulipiza
🤣🤣🤣😂🤣 Walokole banaUwezo wao ulikuwaga mdogo kitambo sema, Media za Magharibi zilijuwa udhaifu wa Serikali yao ni kuisifia ionekane ni bonge la jitu...
Iran hata kabla ya USA alikuwa alishapigwa na Israel
Unajua wewe ni mrembo kuishangilia Iran🤣🤣🤣😂🤣 Walokole bana
acha kukalilishwa myahudi maku tuNdio Ki historia wayahudi wameshika nyadhifa kubwa kubwa kwenye Dola za Middle East, na mpaka sasa kuna wayahudi wengi Tu waarabu, Wairan wenye vyeo na nafasi,
Hapo Iran kuanzia wanasiasa, matajiri, wanasayansi etc wapo wayahudi.
Iran sio Israel kijana.Ngoja pakae sawa mtasema tu. Alosema muanze kushambilia Israel atawasaidia.
Sasa mbona wanahamisha watu walio karibu na hilo eneo?BREAKING: Iranian TV: No nuclear radiation is expected, and all enriched uranium has been removed from nuclear facilities in advance
Ground attack ilikua taarifa ya uwongo, media za israel zilizoipandisha ziliishushaTaarifa itakuja kilichofanyika kabla ya kulipua. Nilipokua nachukua updates walisema kuna sijui makomandoo walienda kuharibu sijui kuchukua uranium kabla ya kulipua. Sikuelewa vizuri ile taarifa
Wanajeshi wa Israel au wa Iran?Kabla ya fordow kupigwa, wanajeshi wa israel waliingia ndani na kuondoa hatari zote
Mkuu lakini mashambulizi Leo siku nzima yamefanywa na IsraelIran sio Israel kijana.
Iran ilivumilia vita ya miaka 8 kama ilikua hujui hilo.
Israel sio kitu pasi na USA.
Heavy waterSasa mbona wanahamisha watu walio karibu na hilo eneo?
Iran kazingua aisee kma anawahamisha watu means hakuhamisha km anavyojigambaSerikali ya Iran muda huu inawahamisha wakazi walio karibu na eneo na fordow ambalo limeshambuliwa
Iran ina strategy zake, na hatuwezi kufahamu wanajipanga na kitu gani...Mkuu mm nadhani zungumzieni pia na uhalisia, Iran kwenye hii vita wameonyesha udhaifu mkubwa. Kwanza ndege kutawawala siku nzima ni udhaifu, kwa namna walivyo powerful haikupaswa ndege siku nzima zinazunguka na kupiga wanapotaka
Sawa hujakosea ila usisahau intelijensia USA ndio huwa anamsaidia huyo jamaa.Mkuu lakini mashambulizi Leo siku nzima yamefanywa na Israel
Habari ya uwongo,Iran waliondoa wenyewe enriched uranium na heavy waterWanajeshi wa Israel au wa Iran?
TAQIYYAH hiyo wajinga tu ndiyo wataamini uongo huo!!BREAKING: Iranian TV:The three nuclear facilities in Natanz, Fordow, and Isfahan have been evacuated.
Bombers zimerudi but recently US walisogeza machine kma zote zimepaki standby Middle East na maeneo jirani. It all depends na Iran atareact vipi baada ya leo before conflict haijawa full war.Hujaona Trump anasema ndege zinarudi nyumbani