SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Ivi izo bunker buster haziwezi kupigwa nyingi kiasi kwamba ziwe zinafukua na kutetemeaha mpaka kufika huko chini kabisa, na kuingia ndani mno.
Inawezekana na ndio huwa wanafanya hivyo, ila tukio la jana hakuna mtu alieona hilo, na wa kazi wa Qom wanaendelea na shughuli zao kama kawaida, taarifa za Iran Bomu limepiga juu halijapiga jengo ambalo lipo chini, so ni Kiki tu za Trump.
 
Sasa kama Al-Jazeera wanajua unadhani Mossad hawatayapata
Na lengo la kuzitoa ni ili contamination isitokee, cha muhimu ilikuwa facility, bila hiyo hawataweza fanya ktu labda waombe Pakstan au North Korea au China au Russia waje weka Mabomu ya Nuke
 
Kuna hata satelite image ku prove hili?
 
Mzee Ayatollah sisi tunaomba iwe basi Washakoma na wenyewe wameomba pooo kupitia Maandamano !!!

waone uruma wengine wanakimbia kwa miguu kwenda utumwani Misri kichwani wamebeba Shangaz kaja.. Mzee Ayatollah wasemee awajui walitendalo!!!

Hahahaha kikisikika king'ora watu tayari wanajua Ayatollah na missiles zake yuko angani.

Huyu Mzee Ayatollah sisi hatumdai hata akifa leo, he is the man and a true friend.
 
safari hii teknoloji ni tofauti na enzi za WW2, bunker buster bombs zimepenya deep na kuharibu hizo site tatu

View: https://www.youtube.com/shorts/qEF1krA6-xI?t=9&feature=share
 
Hapana madhara yangeonekana ,una kumbuka janga la kuvuja mionzi nchini japan na maafa yake?
 
Wairan wanachekecha kweli kwani toka mwanzo walikuwa wapi ? Wana waamini magharibi na taasisi zao

JUST IN: 🇮🇷 Iranian official says Iran now has a "legal right" to withdraw from the Nuclear Non-Proliferation Treaty.
 
Huyu mtoto kichanga amekatika mguu kwa sababu ya makombora ya Israel...
Kuna video nyingi watu hawajaona, kinachoendelea Gaza ni zaidi ya unyama, ndio maana nchi za EU zinapiga kelele na ICC kutoa warranty ya kumkamata Netanyahu...
Hii ni sehemu ndogo tu ya unyama inaofanya Israel huko Gaza..

Iran isiache kuitandika Israel..
Your browser is not able to display this video.
 
Angekuwa nao ingejulikana tu. Mkubali Israel na Marekeani hawamuwezi Iran.
sasa hawamuwezi kivipi israel wiki ya pili hii yuko anga ya iran na iran ameshindwa kumtoa yeye si alikua anajisifu kwamba ana mifumo imara ya ulinzi? sasa hapo ambae hamuwezi mwenzake ni nani
 
Wakaazi wa Teheranطهران, "wana sema thank u Israel, freedom is comming now" i.e الحرية قادمة الآن and chanting "death to the Ayatollah" is "الموت للخوميني", halafu wamatumbi wa bongo wanampambania Ayatollah aliyejichimbia handakini

View: https://www.youtube.com/shorts/hjbaVT1N2Ss?t=5&feature=share
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…