baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,063
- 12,808
Sheria ya kimataifa hairuhusu kumvamia mtu ila zinaruhusu kujilinda ukivamiwa, kwa jicho la sheria Iran sasa hivi anaweza target chochote cha Usa kwa muktadha wa kujilinda.Wanasema hawajabiga ila Kuna watu hapa wametuletea habari kuwa iran wamesema USA imeanzisha vita rasmi.
Kama mambo ni swali ni ya Nini yote hayo maneno
Apige hizo B-2.. zikienda middle east..Sheria ya kimataifa hairuhusu kumvamia mtu ila zinaruhusu kujilinda ukivamiwa, kwa jicho la sheria Iran sasa hivi anaweza target chochote cha Usa kwa muktadha wa kujilinda.
Acha kukariri bosiHivi Israel na US waliwaza nini kwenda kushambulia vinu vya nuclear vya Iran? hivi hawelewi kwamba endapo mionzi ya hiyo vinu ingevuja ingeua watu kiasi gani katika hayo maeneo?
Jamaa ni mashetani kabisa, unapiga kinu chenye uranium hapo ni kupelekea mionzi isambae mji mzima..
Na madhara ya mionzi ya nuclear ni makubwa sana.. ina maana hawa jamaa walitaka wananchi wa Iran wafe kwa mionzi ya nuclear?
Iran nimeelewa kwanini hawataki kulenga vinu vya Irsael, mfano Dar kukiwa kuna kinu, kikivuja mionzi kwa asilimia kubwa, mionzi inaweza kusafiri hadi Morogoro na zaidi..
So far sijamuelewa Urusi, japo Nafsi yangu inaniambia ame husika sana na ku maneuver hizo Nyuklia,Iran atakuwa mjinga kama aliamua kuingia vitani kwa kutegemea nyuma yake yuko Russia na China.
Russia na China sio watu wakutegemea kukupa full support kwenye ugomvi na west.
kwa sasa hana uwezo huo, mbona ma B-2 yamemtembelea nyumbani kwake na kufanya uharibifu, na wakatoka bila scratchSheria ya kimataifa hairuhusu kumvamia mtu ila zinaruhusu kujilinda ukivamiwa, kwa jicho la sheria Iran sasa hivi anaweza target chochote cha Usa kwa muktadha wa kujilinda.
Ni ushenzi TU hivi wanadhani Iran hawezi kutagert kinu Cha nyuklia Cha Dimona nchini Israel? Na anaweza kuifumua yote kabisa lakini anajua madhara yake ni makubwa kuliko nchi nzima na ni eneo dogo. Marekani ni taifa kubwa lakini kubwa jinga kabisa wanaendeshwaje na bwana mdogo Netanyau!? Yaan amekua ndio mtoto pendwa wa US zaidi ya wakazi million 300Hivi Israel na US waliwaza nini kwenda kushambulia vinu vya nuclear vya Iran? hivi hawelewi kwamba endapo mionzi ya hiyo vinu ingevuja ingeua watu kiasi gani katika hayo maeneo?
Jamaa ni mashetani kabisa, unapiga kinu chenye uranium hapo ni kupelekea mionzi isambae mji mzima..
Na madhara ya mionzi ya nuclear ni makubwa sana.. ina maana hawa jamaa walitaka wananchi wa Iran wafe kwa mionzi ya nuclear?
Iran nimeelewa kwanini hawataki kulenga vinu vya Irsael, mfano Dar kukiwa kuna kinu, kikivuja mionzi kwa asilimia kubwa, mionzi inaweza kusafiri hadi Morogoro na zaidi..
So far sijamuelewa Urusi, japo Nafsi yangu inaniambia ame husika sana na ku maneuver hizo Nyuklia,
Ila China simdai, yeye ndio wa kwanza kumsaidia Iran na zile Cargo, na Pia amempa Iran Access ya Beidou, mpaka unaona vitu vinatoka km 2000 vinapiga exactly jengo lililokusudiwa huyo ni mchina. Msaada huu ni mkubwa kushinda angeleta Mamilioni ya missile na ndege
Russiq na china wanaangalia mgogoro kama unawanufaisha kwa namna yoyote ile, kama hawaoni manufaa wanakula konaIran atakuwa mjinga kama aliamua kuingia vitani kwa kutegemea nyuma yake yuko Russia na China.
Russia na China sio watu wakutegemea kukupa full support kwenye ugomvi na west.
Mkuu tatizo naona wengi hamjaelewa kabla ya kupigwa hapo ilifanyika nini.Hivi Israel na US waliwaza nini kwenda kushambulia vinu vya nuclear vya Iran? hivi hawelewi kwamba endapo mionzi ya hiyo vinu ingevuja ingeua watu kiasi gani katika hayo maeneo?
Jamaa ni mashetani kabisa, unapiga kinu chenye uranium hapo ni kupelekea mionzi isambae mji mzima..
Na madhara ya mionzi ya nuclear ni makubwa sana.. ina maana hawa jamaa walitaka wananchi wa Iran wafe kwa mionzi ya nuclear?
Iran nimeelewa kwanini hawataki kulenga vinu vya Irsael, mfano Dar kukiwa kuna kinu, kikivuja mionzi kwa asilimia kubwa, mionzi inaweza kusafiri hadi Morogoro na zaidi..
Mission kubwa ilikua ni kupiga fordow, wanaotoa taarifa huko za ndani za live kinachoendelea nao sasa hivi wapo slowUzi umepoa
Ni ushenzi TU hivi wanadhani Iran hawezi kutagert kinu Cha nyuklia Cha Dimona nchini Israel? Na anaweza kuifumua yote kabisa lakini anajua madhara yake ni makubwa kuliko nchi nzima na ni eneo dogo. Marekani ni taifa kubwa lakini kubwa jinga kabisa wanaendeshwaje na bwana mdogo Netanyau!? Yaan amekua ndio mtoto pendwa wa US zaidi ya wakazi million 300
Wanasayansi 100 wa urusi wapo kwenye kinu gani?Wikipedia ambayo hata mimi naweza kuingia na ku edit vitu!!!
Tatizo wewe huwa ni debe tupuKwa nini huku sema hapo mwanzo lakini aliyopigwa tu ikaanza TAQIYYAH!!! Nyinyi ni waongo kama shetani baba yenu!!
Alichobugi Israel ni kupiga Random Iran, liberal wengi wa Iran wamekufa wanamichezo wakubwa wakubwa wengi wana hadi gold medals etc. Hii imewaunganisha pande zote 2 kuwa kitu kimoja, kama unamfuatilia Lord bebo Twitter ana thread moja ndefu sana, hata hao wanawake ambao wapo Against Ayatollah wanaogomea kuvaa Hijab sasa hivi ni Anti-Israel.Wairan wanafurahisha serikali yao imegawanyika kati ya reformists na conservatives
Hawa reformists wanafikiri wazungu wana wachekea chekea wana waamini wazungu na taasisi zao.
Wazungu wanapambana western civilization isinguke wala isiangushwe na mtu yoyote na ndio maana wapo tayari kuungana kumshughulikia yoyote yule anaye tishia western civilization kuwa amini hawa watu ni ujinga wa mwisho.
Wanasayansi 100 wa urusi wapo wapi kama bushehr!?..Iran nucler sites eliminated i.e Fordow, Natanz, and Isfahan, tutajie ya nne unayoifahamu wewe ila Mossad na CIA hawaijui
Atuna deni kabisa kila nikiona picha za Telaviv Mzee ana zambi imetosha kwasasa.Hahahaha kikisikika king'ora watu tayari wanajua Ayatollah na missiles zake yuko angani.
Huyu Mzee Ayatollah sisi hatumdai hata akifa leo, he is the man and a true friend.