SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Hii vita Mrusi, Mchina n.k hawawezi kuingilia kutokana na Marekani kuwekeza majeshi karibia kila kona ya dunia ikiwemo hapo mashariki ya kati; ndio maana ata bajeti ya jeshi inakuwa ni kubwa sana.

Iran atajifariji, lakini hakuna kitu kitakachofanyika zaidi ya utawala kuanguka.

Tutasema mbona analipua lipua huko Israel, hiyo ni katika hali ya kupambana kwa sababu ata tungevamiwa huku kwetu, tungetumia magobole yetu kupigana huku tukijua tunaenda kushindwa tu.

Kwa hiyo kujibu mashambulizi sio kwamba utawala utabaki, mabadiliko yanaenda kutokea.​
 
Iran hamna kitu wanadanganya tu dunia
 
Nuclear site zilipigwa zingine since day one Israel alipo Anza mashambulizi
Mpuuzi sana wewe , yaani nuclear sites zipigwe halafu hiyo nchi iendelee kukalika na radiations leakage ? ,hivi nini wapumbavu wenye elimu za kata mnajua hata maana ya nuclear ni nini ? ,
Mbwa kabisa ,jadilini Simba na Yanga .Ndio maana nishaacha kujadili kwenye hizi mada maana wapumbavu vilaza wasio na elimu wala akili ni wengi , ushabiki na ubishi wa kiseng€ usio na facts
 
Mbona unatapatapa,jiamin, tulia, kula vizur na usubirie mvua ya vimondo usiku wa leo kutoka iran...
 
Kama hii kweli basi Iran hakuna Nchi, kwa hiyo haya magari ni ya Mossad


View: https://x.com/Terror_Alarm/status/1936750576315858996
Hao mossad kama walikuwa wana uwezo wa kuingia humo ndani na kwenda kuchukua uranium, kwanini wameshindwa kulipua hiko kinu kwa kutega vilipuzi kwa ndani?

Hao wangekuwa na hio access wasingehaika hata kutumia hizo B-2,sijui huu uongo wa wanaoutunga unawasaidia nini, hio sehemu ilikuwa inalindwa na askari wa Iran, hao mossad walipitia wapi?
 
hawajashindwa, kama wameshidwa Ayatollah atoke huko pngoni kwake aendeshe inchi, wananchiwanashangilia kuanguka kwa Ayatollah na kikundi chake kandamizi, we unateseka huku Tanganyika Masagati.

View: https://www.tiktok.com/@emilyintelaviv/video/7288794798213860610?is_from_webapp=1&sender_device=pc
 
Uranium low quality wachukue ya nini?? wao wanayo Nuclear tayari, wamefanikiwa kuzuia Iran isiwe na hizo silaha, objectives met by 110%
 
Mission kubwa ilikua ni kupiga fordow, wanaotoa taarifa huko za ndani za live kinachoendelea nao sasa hivi wapo slow
Mkuu kwa sisi wafuatiliaji wa huu uzi hatukudai chochote. Jitihada zako zimeupa huu uzi maana. Kuna updates nyingi nimeona upo ahead of intl. news outlets. Nikichanganya na unavyowajibu opponents wako, hongera sana Mkuu.
 
Iran keshapigwa matukio kibao hapo nchini kwake hata kabla ya hili, so sio kwamba alirelax la, bali ni kwamba yupo nyuma kitechnolojia, sababu sio yu kwamba amewekewa mapandikizi..pia amekua hacked mifumo yake pia..so all in all ni kwamba amezidiwa akili
 

Lengo la kivamia Iran walitangaza kuharibu uwezo wa Iran kuwa na nuclear na pia regim change, je ni lipi kati ya hayo wamefanikiwa? kwa maana ipo wazi vinu vipo full functinal... regime Ayatollah bado yupo, je nani kashindwa hapo?
 
Lengo la kivamia Iran walitangaza kuharibu uwezo wa Iran kuwa na nuclear na pia regim change, je ni lipi kati ya hayo wamefanikiwa? kwa maana ipo wazi vinu vipo full functinal... regime Ayatollah bado yupo, je nani kashindwa hapo?
mi nawaelewa zaidi wananchi wa Iran, ndyo wanaoshangilia ushindi (Shalom إسرائيل )ili mabadiliko yaje, we ni pro- "القائد الأعلى" aliyejificha pangoni

View: https://www.tiktok.com/@emilyintelaviv/video/7288794798213860610?is_from_webapp=1&sender_device=pc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…