Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Kila kitu ni mchakato, muda utafika na wataachia nafasi.Lengo la kivamia Iran walitangaza kuharibu uwezo wa Iran kuwa na nuclear na pia regim change, je ni lipi kati ya hayo wamefanikiwa? kwa maana ipo wazi vinu vipo full functinal... regime Ayatollah bado yupo, je nani kashindwa hapo?
Toka vita vianze tunaambiwa haya ya 'important'..lakini israel inaendelea kugeuka kifusi
Iran ilishahamisha hizo uranium ambazo zipo highly enriched , sasa elezea wamefanikiwa kiipi kuizuia? kwanza vinu vipo full funtional, uranium wanayo, je wamefanikiwa vipi?Uranium low quality wachukue ya nini?? wao wanayo Nuclear tayari, wamefanikiwa kuzuia Iran isiwe na hizo silaha, objectives met by 110%
mifumo ya nyuklia ya iran iko scattered, unakuta unit hii iko mkoa huu, unit hii mkoa ule.. so kumaliza mfumo mzima kwa vilipuzi sio kazi rahisi..pia inawezekana kwamba inahitaji mabomu yenye nguvu kubwa ambayo ni heavy sasa ungeyapitishaje kinyamela?Hao mossad kama walikuwa wana uwezo wa kuingia humo ndani na kwenda kuchukua uranium, kwanini wameshindwa kulipua hiko kinu kwa kutega vilipuzi kwa ndani?
Hao wangekuwa na hio access wasingehaika hata kutumia hizo B-2,sijui huu uongo wa wanaoutunga unawasaidia nini, hio sehemu ilikuwa inalindwa na askari wa Iran, hao mossad walipitia wapi?
Toka vita vianze tunaambiwa haya ya 'important'..lakini israel inaendelea kugeuka kifusi
🤣🤣🤣Unabeba tu kila kitu,hiyo akaunti ni ya wayahudi,hayo ni magari ya Iran yakiondoa vitu muhimu fordowKama hii kweli basi Iran hakuna Nchi, kwa hiyo haya magari ni ya Mossad
View: https://x.com/Terror_Alarm/status/1936750576315858996
Mikwala hiyoUK:
Kama Iran itamshambulia raia yoyote au KITU chochote Cha US tutatafsiri KUWA ameishambulia NATO. Na tutajibu
Na hayo makombora yote alopiga USA tokea baharini yalifikia target hawakutungua hata moja halafu wanaanza ongea ongea sijui mdomo wanatoaga wapi,lini hiyo? mbona Israel na USA wako wanaishi KTK ANGA LA Iran, hunting and obliterating their "military trophies"😀n akazi inaendelea, vitu vizito sasa vinatoka baharini
View: https://www.youtube.com/shorts/Njoxw776LTE?t=3&feature=share
Sasa kama Israel iliua Majenerali kwenye vyumba vyao itashindwa kujua walipopeleka hizo Uranium🤣🤣🤣Unabeba tu kila kitu,hiyo akaunti ni ya wayahudi,hayo ni magari ya Iran yakiondoa vitu muhimu fordow
Sasa mashambulizi yametokea jana leo top diplomat ana press, maswali ataulizwa nani?.. ndiyo maana kwenye press kuna maswali alisema hawezi yajibu kwa sasaKwa hiyo sasa hivi msemaji wa Iran kuhusu vita n.k ni FM? Wasemaji wengine wa nchi wako wapi?
it was 100% hit, Iran kwa sasa hawawezi intercept tomahawk missilesNa hayo makombora yote alopiga USA tokea baharini yalifikia target hawakutungua hata moja halafu wanaanza ongea ongea sijui mdomo wanatoaga wapi,
Ukikaa pale lugalo na kufuatilia majenerali wanakoishi hutojua?Sasa kama Israel iliua Majenerali kwenye vyumba vyao itashindwa kujua walipopeleka hizo Uranium
Iran kesho wana mazungumzo nchini Urusi, inawezekana anaenda kuomba msaada.UK:
Kama Iran itamshambulia raia yoyote au KITU chochote Cha US tutatafsiri KUWA ameishambulia NATO. Na tutajibu
Njoo uyakune😇Makende ya baba yako yana fungus na UTI sugu
Wana akili kuliko wewe ndio maana operation imefanyika bila hayo madhara unayosema.Ni ushenzi TU hivi wanadhani Iran hawezi kutagert kinu Cha nyuklia Cha Dimona nchini Israel? Na anaweza kuifumua yote kabisa lakini anajua madhara yake ni makubwa kuliko nchi nzima na ni eneo dogo. Marekani ni taifa kubwa lakini kubwa jinga kabisa wanaendeshwaje na bwana mdogo Netanyau!? Yaan amekua ndio mtoto pendwa wa US zaidi ya wakazi million 300
Mimi Nina uhakika nimekuzidi elimu ya darasa.Mpuuzi sana wewe , yaani nuclear sites zipigwe halafu hiyo nchi iendelee kukalika na radiations leakage ? ,hivi nini wapumbavu wenye elimu za kata mnajua hata maana ya nuclear ni nini ? ,
Mbwa kabisa ,jadilini Simba na Yanga .Ndio maana nishaacha kujadili kwenye hizi mada maana wapumbavu vilaza wasio na elimu wala akili ni wengi , ushabiki na ubishi wa kiseng€ usio na facts
hawana busara hiyo ya kufikirika, ni kwamba hawana huo uwezo wa kuharibu nuclear ya IsraelNi ushenzi TU hivi wanadhani Iran hawezi kutagert kinu Cha nyuklia Cha Dimona nchini Israel? Na anaweza kuifumua yote kabisa lakini anajua madhara yake ni makubwa kuliko nchi nzima na ni eneo dogo. Marekani ni taifa kubwa lakini kubwa jinga kabisa wanaendeshwaje na bwana mdogo Netanyau!? Yaan amekua ndio mtoto pendwa wa US zaidi ya wakazi million 300
hawajashindwa, kama wameshidwa Ayatollah atoke huko pngoni kwake aendeshe inchi, wananchiwanashangilia kuanguka kwa Ayatollah na kikundi chake kandamizi, we unateseka huku Tanganyika Masagati.
View: https://www.tiktok.com/@emilyintelaviv/video/7288794798213860610?is_from_webapp=1&sender_device=pc