SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Russia’s former president and senior security official, Dmitry Medvedev, has said that despite the illegal aggression of the United States on three Iranian nuclear sites, the Islamic Republic is expected to continue with its peaceful nuclear program.

“Enrichment of nuclear material — and, now we can say it outright, the future production of nuclear weapons — will continue,” he wrote in a post on X on Sunday.

Medvedev's comments came hours after US President Donald Trump brazenly announced on his social media platform that American forces had bombed nuclear sites in Fordow, Natanz and Isfahan.
 
Iran has nothing to gain zaidi ya kuumia... Kama Israel pekee imeibadili Iran Kuwa Syria unadhani itaweza kudeal na USA?
Usitudanganye mzeeh.
Iran imebadilika kuwa Syria in which aspect?
Mbona shughuli kinaendelea kama kawaida?
Vipi kuhusu Israel raia wanaokimbia nchi yao ye umelizungumzia hilo.?
 
Lakini mafuta si yanatoka sehemu tofauti ikiwemo India
Asilimia 20 ya mafuta kwenye mkondo huuu, ila sisi tushukuru tuna gesi ndo muda muafaka wa kuhamia kwenye matumizi ya gesi kwenye vyombo vyetu vya usafiri.
Tukifanikiwa tu kushawishi matumizi ya gesi kwenye malori na mabasi , basi tutaupiga mwingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…