SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Kwa hali jinsi inavyokwenda, naona Iran anaweza akapiga base kadhaa za US.

Anaweza akapiga base ya Syria, Jordan na Iraq.
Mchawi ni Israel, Iran ihakikishe inamtandika myahudi vilivyo, yaani myahudi apigwe mpaka awe hoi... nguvu zake aelekezee kwa Israel kwa maana hao ndio wavuruga amani middle east, akipiga US watapata sababu ya kuichangia Iran...

Lakini pia US base zake zikishambuliwa sijui atatumia base ipi kupambana na Iran, maana aircraft carrier sio salama, na pia hakuna nchi middle east itakubali kuwa uwanja wa vita na anga kufungwa kwa sababu ya makombora, Qatar na ndege zake hawezi kubali US ipigane kutumia ardhi yake...
 
hicho kipindi cha miaka ya 80 iran alikua anapigana na iraq. hayo ni magazeti ya propaganda
View attachment 3378972
Hilo gazeti ni mwaka 1984, ndio maana nasema kwamba hao wayahudi toka miaka mingi nyuma hizo ni habari zao, hata 2009 Israel ilisema hivyo... kila siku Iran inakaribia kumiliki silaha za nuclear...
 
Marekani falsafa zake ni kama Israel. Iran ikiruhusu shambulio la Marekani lipite, Marekani atakuja kufanya tena jambo la ajabu kwa Iran.

Kitendo cha kutaka kulipua vinu vya nuclear ni kitendo hatari sana! Hakina tofauti na mtu kutaka kutumia silaha za nuclear kukishambulia.

Ili ajiweke vizuri na awe na mustakabali mzuri hapo mashariki ya kati na kwa hao majirani ambao ni vibaraka, na ili amaanishe business kama anataka kufunga strait of Hormuz inatakiwa ni lazima apige hizo kambi! Tena avishushie vyuma kweli.

Hii itajenga hofu mashariki ya kati yote hapo na America ahisi moja kwa moja kuwa hayupo safe hapo mashariki ya kati.

Sambamba na hilo ashushe vyuma kwa wakati mmoja na Israel (Ikiwa kama tunazungumzia lugha ya kijeshi).
 
Pumbavu mkubwa ,kilaza huna akili .Kujadili simba na Yanga
 
Hizi B 2 Spirit bomber, zimesafiri masaa 37 bila kutua popote pale. Zimetimiza lengo lake kisha zikarudi zilipotoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…