SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Hakuna tena cha kuzuia na Iran ikitoka hapa lazima itaunda nuke weapons.
Maana itaona kama ndio chaguzi bora kiusalama kwao.
Nahisi Iran imeona ndio muda sahihi wa kutumia msaada walioukataa mwanzo wa Urusi.
Akhy, naomba uniruhusu nilale! Nimeshiba, nimekunywa maziwa mengi sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…