SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Netanyahu na Mkuu wa Mossad wakipata gahawa kidogo huku wakimzumu Ayatollah
 

Attachments

  • FB_IMG_17506787791488086.jpg
    219.2 KB · Views: 28
Video footage: sehemu ya mashambulizi ya Israel huko sepah square
 

Attachments

  • 2025-06-23_14-51-25_0.mp4
    973.1 KB
Tazama kilichosalia kutoka moja ya kombora la balestiki ambalo lilidunguliwa juu ya anga ya Israeli.

Kumbuka, hata kama mifumo ikifanikiwa kudungua kombora, mabaki yaangukayo bado ni hatari kwa watu walio chini na mali zao.. Uharibifu uko palepale
 
Wewe kama mdau unashauri nini kifanyike..?
 
Naona hata manpad Wenda nazo wakawa na upungufu mkubwa
Iran waliamua kuja na military doctrine ya kwao mpya. Ila imeshindwa mapema sana kupambana na superior enemy. Inawafaa kupigana na jirani sio mtu wa mbali.

Mfano wangekuwa na Navy nzuri ingesumbua Israel maana Israel wenyewe wana moderate Navy.

Au Iran angalau wangekuwa na air superiority fighter jets wangeleta tishio angani kwa Israel. Au wangepigwa ila baadae sana. Ila sasa hawana modern fighters. Walikuwa wanazungushwa na Urusi isiwape Su-35.

Na kwa ubishi wao na incompetency hawakuwa wanajifunza mbinu za kisasa kwa mataifa rafiki. Maafisa wao inaonekana wamejifungia, vyuo vya kijeshi vinafundisha wanachoamini wao.

Kuna sababu kwanini NATO kila mwaka wanaendesha mafunzo. Kuna sababu kwanini Urusi ilianzisha International Army Games nchi kama 30 zinaitwa zishiriki. Nchi zilizonunua vifaru Urusi huwa wanafanya Tank Biathlon na kilaza anajulikana pale.

Iranians wao ni kujiamini kupitiliza na ile sera ya kumpambania Allah kujitoa mhanga. Wachina wanajiamini ila hawapitilizi wala kuchokoza kimakusudi na kujitapa.
 
Wachokonozi walikuwa wanasema wanayazuia kwa mbinu za kikale.
Nasikia wako ndani na hawajatoka pamoja na kumiliki mbinu hizo.
Science yq mzungu haina longo longo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…