SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Wayahudi wataelewa kwa nini Netapaka alikimbia tangu juzi na watoto wake wanaishi Miami, Marekani​
Acheni uongo Netanyahu yupo Israel na anaongoza mipango ya kumnyoosha Ayatolah Khamenei. Endeleeni tu kujifariji
 
Ni kama wana mapepo…hivi raia wao wanajionea kawaida tu kwanini hawawaondoi viongozi vichaa
 
Kuna mrembo kakatiza hapa, bado kidogo nimuite Mrs Israel.
 
Ila mkuu ukikaa kwa mbali unaona regime change middle East mfano wa Arab spring haiko mbali kwa mataifa ya Saudi Arabia, Kuwait Bahrain na Jordan
 
Dunia ya wanadamu ilianzia huko. (Adamu na Hawa). Na huko ndiko vita ilianzia. Vita ya kwanza ilianza baina ya shetani na Adam na Hawa, baada ya shetani kuwashawishi kutenda dhambi.
 
Yaani seriously unauliza US atampiga Iran akiwa wapi??? Mbona swali la kitoto hili

Japo mm sioni US akiingia kumpiga Iran direct hii vita haidumu wiki moja itakakua imeisha watakaa mezani wakubwa

Japo akili za Netanyahu anazijua mwenyewe
 
Shida kubwa ni mafuta!

Shida kubwa ni mafuta!

Shida kubwa ni mafuta!

Kuna sababu nyingi (za kihistoria, kidini, kitamaduni, kijamii, kisiasa, kijiografia) lakini zote ukizichimbua kwa undani, nyingi zitakufikisha kwenye mafuta (uchumi)πŸšΆπŸΏβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΏβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΏβ€β™‚οΈ
 
Yaani seriously unauliza US atampiga Iran akiwa wapi??? Mbona swali la kitoto hili

Japo mm sioni US akiingia kumpiga Iran direct hii vita haidumu wiki moja itakakua imeisha watakaa mezani wakubwa

Japo akili za Netanyahu anazijua mwenyewe
Hilo swali nimeuliza ni la msingi sana, hizo b2 zilizopo Diego Garcia zipo kwenye range ya makombora ya Iran..

Huwezi ukaamini lakini nakuambia US hawezi peleka mashambulizi ipasavyo kama hana access na kambiz zake za ME, elewa hilo mkuu..

Haijalishi ana tech ya aina gani, kama hana access ya kuweka silaha middle east, ndege na missiles itakuwa ngumu kupambana na Iran..
 
Acheni uongo Netanyahu yupo Israel na anaongoza mipango ya kumnyoosha Ayatolah Khamenei. Endeleeni tu kujifariji
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Upoooooooo!?
Umeadimika sana aisee!
Ilikuwa haipiti siku bila kuchapisha uzi, shida nini mbona umepotea sana!?
Upo busy na kufukua vifusi huko Uyahudini?
Au hauna cha kutujulisha kwa sasa kuhusu Wazayuni na maguvu yao ya kijeshi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…