Mwana Taaluma
JF-Expert Member
- Oct 21, 2019
- 857
- 2,055
Madam huyo 10 fix inamtosha hiyo pipe ranger utammaliza.Israel hawezi kuacha kushambulia akipigwa,hilo ni moja na si hoja hapa,hoja ni israel kaomba vita viishe na Iran kagoma,chanzo ni cha kuaminika, wall street journal...kwanza kiri wsj wamesema,pili kiri kwamba wsj ni chanzo cha kuaminika kwenye siasa za magharibi
Anaepigwa romance hapo ni Israel..Kwamba unamuacha muuni ampige romance mkeo ili achoke uje umshike vizuri
Unaonaje spana zake.We ndo mtu mmoja humu juzi alikuita usalama wa taifa?😂😂
Kwa sasa Israel inaomba iwe hivyo hata Trump pia,lakini Iran imeamua kuiadhibu Israel.. Iran haitaki kusimamisha vita..Hii vita itaisha kwa mazungumzo
Habari nyingi za uhongo.Hao wote hakuna anayeweza kuomba Vita iishe, Israel leo muda mfupi uliopita wametangaza operations zaidi ndani ya Iran. Iran nao wametangaza kuishambulia vikali Israel
Habari ya fulani anaomba yaishe wala si kweli. Hao wote watapigana mpaka mmoja ataposhindwa kabisa. Muda bado tusubiri
Israel maisha yake ni vita kuanzia anakua taifa, yeye akipigana ndo anaishi asipopigana anakufa. kwa hiyo kwake hapo ni kufa na kupona, kati ya iran na israel mwenye uzoefu wa vita hapo ni israel, iran hana uzoefu wowote wa vita zaidi ya vita ya iran yeye amezoea kutumia proxy. mziki wa face to face ambao mwenzake kauzoea yeye alikua hajauonja bado. sasa hivi anaonja. ameshazidiwa kwenye kupokonywa umiliki wa anga lake ambayo ni very big failure kwakeMkuu uchambuzi humu kuhusu kutofanikiwa kwa US au Israel kupiga vinu vya nuclear vya Iran nilifanya kwa kuandika uzi hapa 2020.. guess what? ndicho kimetokea, na juzi hapa nilikuwa namuambia mtu, hata B-2 spirit haitoweza haribu vinu vya Iran, na ndicho kimetokea.....
Israel imeingizwa kwenye vita ambayo si rahisi kutoka, Israel kuna kampuni nyingi za US zilizowekeza kampuni, maabara za R&D(research and development) na sasa zimefungwa, kuanzia hizo intel, microsoft, google n.k
Google wana R&D center kubwa Israel, ni cybersecurity startup iliyovunja rekodi kwa uwekezaji wa $32 billion dollars...
Microsoft wana center ya R&D Israel... juzi hapa Iran iliporomosha kombora katika hio ofisi.
Intel wana office Israel, hii ofisi ya intel pale Israel ni muhimu sana katika operations za hio kampuni duniani, wana manufacturing centers na wana ofisi nyingi Israel.
Qualcomm, salesforce n.k hizo ni kampuni kubwa za tech ambapo imebidi wasimame tokana na vita inayoendelea...
Iran ina vikwazo karibu miaka 50, hakuna kampun ya kimarekani ya tech kubwa itakwenda kuwekeza Tehran..
Elewa kitu kimoja, Israel haipo designed kuhimili hiki kinachoendelea, ndio maana nakuambia Israel ipo nafasi mbaya... kama unabisha nitakukumbusha siku moja....
Hao Iran wapo kwenye vikwazo vya miongo na wanaelewa jinsi wanavyo survive, hata kivita Iran ni wakomavu katika migogoro ya muda mrefu ikiwemo vikwazo vikali, Israel haiwezi hilo battle... hii vita Israel kajitakia acha apmbane tuoe mwisho wake, mwisho wake si mzuri...
Iran alisema Israel akiacha kushambulia yeye pia ataacha, so hapa ambae hataki kusimamisha vita ni israelKwa sasa Israel inaomba iwe hivyo hata Trump pia,lakini Iran imeamua kuiadhibu Israel.. Iran haitaki kusimamisha vita..
😂Hakuna mpumbavu wa kufanya hivyo, kiranga cha netanyahu
🤣nawao watatwangwa tu
mazungumzo hajawai Leta Amani ya kudumu,vita ndiyo uleta Amani ya kudumu.
Hata uko mbiguni kulitoka vita..Shetan na wafuais wake dhidi ya Mikaeli na malaika zake.shetan na kundi lake walipigwa hata sehemu yao haikuonekana tena.
Na hii Dunia itakuja tamatishwa na Vita,sio mazungumzo.
Mungu amlaani yoyote anayeomba Cease Fire kwenye Vita hii. Waache Wauane,na mshindi ndiye ataleta Amani ya kudumu kwenye huo Ukanda
Iran itasitisha mashambulizi Israeli itakapoacha kuishambulia. Iran inajilinda.Kwa sasa Israel inaomba iwe hivyo hata Trump pia,lakini Iran imeamua kuiadhibu Israel.. Iran haitaki kusimamisha vita..
Na Mimi nataka sana afanye hivyoTaarifa zinasema kuna wasiwasi mkubwa Iran atashambulia kambi za marekani karibuni
Hii picha ni ya leo asubuhi Mkuu wa Mossad akiwa na NetanyahauMkuu wa MOSSAD ametangulia mbele ya haki. Wenzake watapewa bikra 72, yeye bila shaka ataishia moto wa Jehanam.
Huo uwezo hana,ballistic zenyewe tuu zinapiga makazi ya watu badala ya kambi za jeshi.nimeamini ayatolah anaakili timamamu angekuwa kichaa kama netanyau siangelipua vinu au nuclear za israel?
We kweli kiazi mviringo picha inatumika muda tu hii hapa ilikua juzi imetumikaHii picha ni ya leo asubuhi Mkuu wa Mossad akiwa na Netanyahau
Umevimbiwa zako kiporo cha Makande yaliyochacha na mlenda ,unaandika upumbavu tu hapa , pumbav zako .NUKE inatakiwa kumilikiwa na tawala zenye zenye viongozi ambao wana sound/rational mind
Ukitoa vita ya six days war ambapo ilikua nyakati za giza huku US ikiwa na vifaa na silaha za kisasa kwa wakati huo ambao ilimsaidia Israel labda utazungumzia operation Entebbe ambapo Uganda hata sisi Tz na unyonge wetu tuliitwanga UG.Israel maisha yake ni vita kuanzia anakua taifa, yeye akipigana ndo anaishi asipopigana anakufa. kwa hiyo kwake hapo ni kufa na kupona, kati ya iran na israel mwenye uzoefu wa vita hapo ni israel, iran hana uzoefu wowote wa vita zaidi ya vita ya iran yeye amezoea kutumia proxy. mziki wa face to face ambao mwenzake kauzoea yeye alikua hajauonja bado. sasa hivi anaonja. ameshazidiwa kwenye kupokonywa umiliki wa anga lake ambayo ni very big failure kwake