pia usiseme kwamba iran imekua kwenye vikwanzo kwa miaka 50, rekebisga kauli sema iran imekua kwenye "vikwazo vya magharibi kwa miaka 50" mana iran anashirikiana kwa kila kitu na urusi, north korea na china ambao hao ni big powers, technolojia ya nuklia ya iran kila kitu hadi sctientist wake wamesomea urusi na north korea, misile techonlgy ya iran yote ni copy paste ya urusi hakuna alichogundua iran alichofanya yeye ni kupeleka vijana miaka ile ya 70 na 80 na 90 wakaenda kusoma urusi wakarudi kwako waanza kumodify zile technolojia za urusi, drone technology ya iran yote kaitoa urusi..vijana wote wa iran high field tech zote wanaenda kusoma urusi then wanarudi kwao kuzitumia
Baada ya 1991, Urusi ilidhoofika sana kiuchumi na kijeshi kutokana na kuvunjika kwa Umoja wa Kisovyeti.
Iliendelea kuwa nchi yenye silaha za nyuklia, kiti cha kudumu UN, na urithi wa kisiasa wa USSR , lakini haikuwa tena nguvu ya kiulimwengu kama zamani.
Haikuchukuliwa kama big power kikamilifu hadi ilipoanza kuimarika tena chini ya Putin kuanzia mwaka 2008 na kuendelea....
Pia China Kiuchumi, ilikuwa inakua kwa kasi, lakini haikuwa bado na ushawishi wa kijeshi au kimataifa kama ilivyo leo.
Katika miaka ya 1990 hadi mapema 2000, China haikuchukuliwa kama superpower au hata great power kamili, bali kama taifa linaloinukia , emerging power...
China ilianza kuonekana kama rising global power zaidi kuanzia 2008 hadi 2010, hasa baada ya kukabiliana vizuri na mdororo wa uchumi wa dunia....
Hivyo katika hiko kipindi Iran ilikuwepo ikipambana na vikwazo, haikuanguka, ilipambana kibishi, hoja yako kwamba Iran alikuwa na marafiki superpowers ndio maana ika survive ni mfu... kipindi hiko kila nchi ilikuwa inajipambania kunyanyuka, kila mmoja akipambana na hali yake...
Iran ina copy na paste, je drones zake ilizompa russia wali copy na ku paste kutoka kwa nani?