SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Habari za masiku ndugu na dada zangu.

Tukubaliane WW3 inaishia Iran then mambo yatakuwa shwari.Tusubiri ww4.
 
Wamekutana na muajemi original

Kuna msemaji wa Trump alisema when president speaks you should listen alifikiri iran ataogopa,yani hapo ndio kwanza wanapiga mswaki wanywe chai
 
Jibu la uncle sam linaweza kuwa zito halijawahi kutokea hapo Tehran kama akiamua kujibu Ayatollah awe makini sana
 
Nimeimis milio ya Tomahawk missile,sasa ni wakati wa kuisikia kutoka kwenye destroyer na submarine.
 
Iran hawakurupuki, usifikiri hawajui wanachokifanya...
Mmh wewe ndio mtoto kabisa, hayo ni maandalizi ya kuuchukua msikiti wa Al-aqsa ambao ndio hekalu la suleiman. Unatakiwa urudi Tena kwa Israel. Iran akiendlea kumiliki silaha itakuwa changamoto kuuchukua.
Na ukiona hivyo keep your eyes to Jerusalem Kuna jambo litatokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…