Hana. Nimemskiliza Putin muda si mrefu, kasema budget wanayoandaa wamarekani kwenye silaha kaitaja na ni kubwa sana kulinganisha na ya kwake, NATO ndio kasema hakuna anayegusa ata ukichanganya Urusi, China na India na takataka zingine Link hiyo hapo from Putin's own mouth.Pesa na silaha anajitosheleza sana ila sikiliza mchambuzi huyu..
View attachment 3379937
magaidi ote wakubwa wakisiasa wa huko kwa wenzetu wakiona hali ngumu kwao wanakimbilia qatar.kwa uarabu ndio nchi imala kiulinzi.haiguswagi hii nchi. na imejengwa na ushirika wa wazungu haohao.Amani hujengwa kwa gharama sana na kwa muda mrefu. Ila kuvunjika huanza na kakikundi kadogo kakipumbavu. Sasa hao qatar mmarekani anawapoteza. Anawagombanisha na ndugu katika imaan
Mkuu mimi nasemaPutin kamaliza kuongea muda si mrefu tafuta interview yake na waandishi, kasema kabisaaa mi budget yangu ya vifaa vya kijeshi ni ndogo sana kulinganisha na Marekani, na NATO ndio kabisaa, kwahiyo yeye walaa hataki maujinga ya Iran. Acha wapige mdomo huku wanatwangwa🤣
wewe unaona 30km ni palefu.sana kwa mionzi ya uraniam?Kwamba kuna makazi ya watu Fordow?
Makazi yako 30km huko
Kwamba wewe mtoto wa kiume (wewe haupo miongoni mwa wanaume) huwa unajikagua misuli yako ya sphincter kila mara na unajihakikisha?Nina uhakika nimekuzidi uimara wa sphincter muscles!
Au hicho sio kitu chema?
Sorry bro, kumradhiUnashangaa? Kwamba unajiuliza ikiwa mimi ni mwanaume?
Mkuu uko serious nikikujibu na hapa... Hebu acha nipotezee.
Yani mpumbavu mmoja kisa kwa sababu zake huko anitukane, mimi nikae kimya, alafu nachoongea ni hivi hata hizo nchi za kiislamu zisingekuwa na usalama wowote, baada ya Israel kutandikwa na Iran, nao wangetandikwa tu.
Mkuu, watu laki 300,000 ujue si mchezo 😂😂😂, taifa zima la urusi hawana raia hao.Mkuu mimi nasema
Ila ishu ni hii.
Putin sio kichaa , vita vya Ukraine imempanua akili ameona technology ya west na USA , imemtesa sana Tena sana.
Ila yeye kilichomsaidia na man power kubwa sana na resources za kutosha na viwanda vikubwa vya siraha.
Kapoteza askari wengi sana Ukraine na zaidi ya laki 300,000 na wengi sana ni majeruhi.
Sasa achukue jeshi lake vifaa avisafilishe mpk iran.
Na yeye anajua nchi zingine za kiaarabu hawapatani na iran.
Ataonekana kama anatetea mambo ya iran
Jamaa yupo smart sana.
Watu saiz sasa watakuwa na iman na update zako💥💥
Israel muda mchache uliopita imeshambulia eneo la hashtgerd. Mlipuko mkubwa
Kila siku mnaambiwa Iran akipiga ukupa na makombora ya ww upige ujisifie !!!Video footage: makombora ya Iran ndani ya Kuwait city, naona air defense inafanya interceptions
Mbungi gani Mkuu!?
Ni noma sema ni gharama sana kuzifunga/Kuzimiliki. Sisi tuendelee kufunga anga letu dhidi ya wachawi, tusichoke kuomba.Huyo al Jazeera yangerushwa Israel asingesema yamezuiwa ila inshort makombora ya Iran mengi huwa yanazuiwa ingekuw yanapita yote Tel Aviv usingekuwepo, air defence system zipewe heshima yake
Kule kulikuwa na operations. Uliona makombora mangapi yameenda moscow? Utasemaje ile ilikuwa vitaRussia vs Ukraine imesahaulika kabisaaaa, yaani kama hakuna vita kule, kumbe Putin anampelekea moto mkali Zelensky kavu kavu bila KY, Zelensky analiaa balaa😅😅
Qatar kunaungua moto mda huuMbungi gani Mkuu!?