Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Tupo hapa tutapata majibu,nchi inakuwa paralyzed kwenye mifumo yake nyeti unasema itabaki imaraPole yako.
Iran ni nchi imara na itasimama imara kama siku zote.
Israel wameona ADs zimekua Overwhelmed ndo wanaomba vita iishe, vita haisimami hii hata wafe Iran wote abaki mtoto mmoja wa miaka mi 5 bado atarusha makomboraKule Israel wameomba vita viishe na Iran kawajibu bado mda wa kusimamisha vita haujafika. Kichapo kinaendelea kama kawaida kule Israel
Chakuchekesha Qatar anasema ana haki ya kulipa kipigo hahaha kivipi? Qatar wanasema wameangusha Missiles 9 na moja imeanguka kwenye empty area ikiwa Iran kasema katumia 6 Missiles kama alivyo tumia USA 6 Missiles kupiga Iran kweli Qatar wakuweza kupigana na Iran ajabu kweli ikiwa Israel anaomba vita viishe na Iran.
Mikwara huwa inaruhusiwa, ngoja tusubiriVituko haviishi duniani.
Iran ilisimama vita ya miaka 8 USA,UK na France wakihusika.Tupo hapa tutapata majibu
No moja ya sababu ameamua akadeal na chanzo cha huo mgogoro, Iran.Mbona Hamas waliopo kwenye kieneo sawa na wilaya wamewashindwa mwaka wa pili unaenda... matekahata mmoja hawajamuokoa?
Ni kweli mkuu lakin sema hilo neno linanoga sana japokuwa kobaz wengi hawalipendiMkuu sio kila sehemu Kuna mlipuko mkubwa
Alipigana na nani?Iran ilisimama vita ya miaka 8 USA,UK na France wakihusika.
kwani nyinyi munapata wapi habari zenu feki?Sijui wanapataga wapi habari zao feki 😆😆
Mbona hazitumii tukaziona sasa au anaenda kuziweka makumbushoIran anajipatia silaha za bure alizo hangaika miaka 20 Israel kuzingiza Iran na kutengeneza ndani ya Iran pigo lingine hilo japata Israel ndani ya Iran.
Hizo drones ndio zilikuwa zikitumiwa kuwauwa viongozi au kuharibu air defense system za Iran na mengine
View: https://youtu.be/jKCeobrL2Bk?si=PvtePQvZVQsufrbI
Walichukua mateka zaidi ya 300, hadi sada wamesalia mateka 53, habari zako unazitoa wapi jamaa?Mbona Hamas waliopo kwenye kieneo sawa na wilaya wamewashindwa mwaka wa pili unaenda... matekahata mmoja hawajamuokoa?
Ila mtaalam unasource za maana sana💥💥
Kuna mhuni huko Iran ameandika "tutafurahia anguko la serikali ya kiislamu" ndani ya shademan underground station
View attachment 3380693
Ngoja tusubiri mda utaongea.Bado unabisha!?
Iran haishindwi kumiliki missiles ya kusafiri zaidi ya 10,000 km, ni vile waliona adui zake wengi wapo within range...Iran hana ICBM yoyote. Hata Israel haina true ICBM ila ina intermediate range ballistic missile Jericho-3 specifically kama nuclear tu sio conventional warhead.
Iran hana uwezo wa kushambulia direct ndani ya US. Na mara ya mwisho US anashambuliwa direct na adui ni Pearl Harbour mwaka 1942 ambapo alitangaza vita na mobilization kubwa.
Iran hana ubavu wa kukabili hiyo hasira ya raia American public. Angalau ashambulie US bases za Middle East na penyewe atapigwa ila kwa huruma kidogo sababu litawahusu wanasiasa na jeshi tu, ila ukigusa raia mara wakaandamana vita itangazwe unakuwa umefanya maamuzi ya akili fupi.
Iraq ya Saddam Hussein..Alipigana na nani?
Wana source zao zinawatiaga moyo na wanazijua wao wenyewe😁Sijui wanapataga wapi habari zao feki 😆😆