SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Hayo ni maneno ya kujifariji tuu,Iran kaogopa comeback ya Marekani kama angeharibu kambi zake
 
Hayo ni maneno ya kujifariji tuu,Iran kaogopa comeback ya Marekani kama angeharibu kambi zake
Iran imerusha makombora, US kawasha air defenses kujilinda, kama US ingetaka sababu za kuivamia Iran tena ingeachia hiz missils zipige kambi, lakini US haitaki vita... Iran inachofahamu imerusha makombora...

Kama mtu karusha ngumi ukaipangua si mbaya na wewe ukarusha...
 
💥
Area 7 Tehran ambayo IDF wamepanga kuishambulia muda mchache ujao Ina taasisi zifuatazo
- moja ya jego la wizara ya ulinzi na armed forces support.
North suhrawardi street
- kambi ya Ishratabad(vali-asri)
Kambi hii ipo karibu na mpaka wa district 7 na district 6
- Baadhi ya taasisi za usalama na ofisi ya intelijensia
Mitaa ya Kajeh - Nizam, suhrawardi na bahar
  • mobilization bases
  • vituo vya polisi
Kikiwemo kituo Cha 106 namjoo, ambacho lipo mtaa wa damavand
 
Yaani facilities zote hizi zinaharibiwa lakini pro Iran wanakwambia hawaoni Israel wanachofanya.
 
Pamoja mkuu usichoke kwa updates zaidi
 
Hii vita ishakuwa ya upande mmoja sasa na anaepata hasara kuja kujenga upya ni Iran zaidi,kama nuclear sites zishaharibiwa aombe tuu mazungumzo asiendelee kupata hasara zaidi.
 
achana nao..

Walianziaga mbali sana, walianza Israel, hawezi vamia Gaza, Wakaja Lebanon, Wakaja Yemen wakaja Iran. Sasa hizi Historia inaenda kuandikwa Israel iliipiga Iran kwa wiki 2
Iran wamuangukie Trump tuu mambo yaishe kuliko kushupaza shingo kuendelea kupata hasara zaidi,bora wakubali kupata nusu hasara kuliko kukosa kabisa. Kama nuclear sites zishachakazwa ya nini kukaza fuvu,bora wabaki na vilivyopo kuliko kuja kuanza upya kabisa.
 
Kama kuna mtu anadhani hii vita itaisha hivi karibuni anajidanganya,vita ndio karibu inaanza,kinachoendelea ni maandalizi ya hiyo vita tu, itachukua miaka mingi,si mmoja wala miwili.Nitakuwepo kuwakumbusha kobazi na kafiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…