SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

North Korea hawezi kupigana na north Korea.
Uduku anategemea nuclear tuu. Ndo kitisho chake.

Askari ya kiduku walienda Ukraine,
Walikufanya kama unga wa ngano unapulizwa na upepo.
Askari wa North Korea wako vizuri sana kwa vita za miguu.
Kursk region imerejeshwa mikononi mwa Urusi kwa nguvu ya askari wa N.Korea.
 
Sasa Kuna yule yellow bird.
Anashangaa ule ujumbe wa Israel kuomba sijui kusimamisha vita.na huo mbona hajapost
 
Mzigo ulikuwa umeshaandaliwa, isingewezekana kuurudisha tena stoo.


View: https://x.com/ShaykhSulaiman/status/1937365805244846134
Kwa kuongezea, hiyo ilikua Ila wave waliyorusha mawili hapa mwishoni yakawa intercepted

Mimi nimezungumzia mzigo waliotuma sasa hivi

Pia, usimtumie sana sulaiman Ahmed kama reference sababu kuna ya kweli na kuna ya uongo ataandika kutokana na kuwa na hisia kali ya upande aupendao
Ni Sasa na mtu atake kujua taaeifa za Israel alafu awe anaenda kusoma hizo taarifa channel 12, lazima atakutana na mazuri tu yaliyochanganya na uongo ndani yake
 
Never trust on USA and Israeli.

Wazo la ceasefire inaonekana Israeli na USA walishakuwa nalo, ndio maana Israeli in two days ameshambulia sana kuhakikisha Iran hapati pumzi.

Kama Iran anaona bado pumzi ipo na mzigo upo ni Bora agome ceasefire.
Wenzio wanapata hasara we unataka vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…