SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Mkuu mbona kadhare hbr nyingi tuu za Israel kushambuliwa Leo.
 
Trump kapata saizi yake😂
Hata awamu yake ya kwanza,
Alileta mikwara uchwara Kwa kiduku,
Kiduku akafanya kweli kule Alaska, trump kaufyata
 
Kazi sana kudeal na vichwa kama chako. That is a random missile hitting down, can't even confirm hiyo ni kambi ya Marekani, wewe unashangilia na mutusi juu. Matusi yanakusaidia nini kama siyo hasira za kigaidi zinakusumbua kichwani mwako?

Jaribu kudeal kupitia sources za maana basi siyo hivyo vichannels uchwara vya itikadi kali. Hadi unajihakikishia Wamarekani wameishukuru Irani kwa kuwapa taarifa like really? Iran ampe tarifa adui aliyesambaratisha mitambo yake ya nyuklia just hours before?

How far are you sure about the accurate How can you dismiss taarifa ya nchi husika badala yake unang'ang'ania taarifa ya serikali ya Irani iliyojaa propaganda? Come man. Yo can do better than that. So far tunachojua ni kuwa. Checking hata sources za kimagharibi rhey don't even have details za impact
1. Qatar ilifunga airspace yake briefly before ya missiles na wamesema wametungua makombora 9 kati ya 10 na lililoangua limedondokea kwenye empty space.
2. Marekani alifanya evacuation ya measure nyingine kabla hajashambulia Iran yaani alijua Iran ata-respond.
3. Kuna taarifa za kambi kupigwa na kombora but hakuna picha ithibitisho wa madhara hadi sasa, zaidi wamesema no casualties, no impact kwa kambi yenye wanajeshi wanaokadiriwa kufika 4000, hilo linakupa picha gani? Unachofurahia wewe ni kombora tu kupiga, haijalishi limepiga nini! We jamaa wewe!
 
We unadhani utapata picha za makombora zilizo piga kambi?
 
North Korea unaiacha wapi? Brazil? Pakistan? India? Zama za Marekani zimebaki kwenye technology tu ila kwenye swala la uwanja wa Vita Nchi nyingi sana powerful siyo rahisi Marekani kuingia huko ni lazima Cha moto akione.
 
Malengo ya Israel kwenye hii vita ilikua ni kutoa utawala wa mapinduzi wa kishia.
Badala yake raia wakaungana na serikali yao.
Pasi na kupepesa jicho Israel ndiye aliyeshindwa vita hii.
Mkuu hapa umedanganya

Madai ya Israel NI zero nuclear na kama Iran wangekubali basi utawala huu ungeendelea kama kawaida, hii ya regime change imekuja baada yakuanza Kwa vita na Israel kuhisi kuwa kubaki kwenye mamlaka Kwa utawala huu Israel haitakuwa na Amani ndiyo wazi wa regime change lilipoibuka
 
So swali lako kuhusu why anahangaishana na Gaza halipaswi kuulizwa, kumbe jibu unalo. Hamas licha ya udogo wake amegundua njia za kudeal na big cat ya Isreal, period!
Again. You can't downplay intelligence ya Israel, nimeandika, its a complex system huku akihakikisha anakomboa watu wake kwenye system hiyo hiyo complex. Things are not that straightforward kama unavyotaka iwe.
 
hii ya regime change imekuja baada yakuanza Kwa vita na Israel kuhisi kuwa kubaki kwenye mamlaka Kwa utawala huu Israel haitakuwa na Amani ndiyo wazi wa regime change lilipoibuka

Itakuwaje sasa, hii regime mbona wameiacha?
Amani itatokea wapi kwa Muisrael kama Ayatollah regime ikiendelea kushikilia nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…