100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Acha chumvi... eti shambulio kubwa sana..💥
Israel muda mchache uliopita ndege Vita zao zimeshafanya shambulizi kwa kupiga radar kaskazini mwa Tehran.
Ngoja tuone he Iran itakalia kimya hili au watalijibu au watapptezea sababu si shambulio kubwa sana
Hao wote Iran haihangaiki nao, Houthi wata deal nao..za chini chini pia Saudiarabi imesema wapo nyuma ya Qatar ikiwa watarespomd.
Ngoja tuone
What about his voice?
Mkuu umeamua tu kunisema.Acha chumvi... eti shambulio kubwa sana..
Iran imeumiza wengi sana kabla ya Vita walikuwa waongelea vinu vya Nyuklia now wanaondelea Uranium wapeleke wapiIran. Wanasayans 12+ dead
Israel. Wanasayans 0 dead
Iran . Makamanda wakijesh 21 dead
Israel. Kamanda mmoja kajeruhiwa
Irani. Maeneo yaliyo pigwa. Vituo vya kijeshi 49
Israel. Kituo cha utafit wa sayan 1
Irani. Hivadhi za silaha 89
Israel. Hifadhi za silaha 0
Iran ndege za kivita ( f4 nk) 67
Israel. Hakuna ndege ilio shambuliwa
Iran vifo 289 majeruhi 1870
Israel vifo 12 majeruhi 139
Hapo hajajumuisha virusha makombora wala ulinz wa anga ulio shambuliwa
...
Halafu mtu from no where anasema sitisheni vita.
Irani tumeumizwa sana na huu mpango wa kusitisha vita. Halaf tumeamriwa baada ya kusitisha vita turudi mezani.
Dunia kweli haina huruma.
Mbona imekubali kusitisha vita kiwepesi sana wakati imepata demage kubwa?Iran imeumiza wengi sana kabla ya Vita walikuwa waongelea vinu vya Nyuklia now wanaondelea Uranium wapeleke wapi
Sasa itafanyaje.. ikiendelea na vita itapoteza zaidi ni bora warudi mezani wajadili offer waliyopewaMbona imekubali kusitisha vita kiwepesi sana wakati imepata demage kubwa?
Jambo la kusikitisha zaidi mvamizi ndio kaomba pooooooSasa itafanyaje.. ikiendelea na vita itapoteza zaidi ni bora warudi mezani wajadili offer waliyopewa
Malengo yametimia mpango wa nuclear ulokua unaelekea mwishoni umefutwa so itabidi waanze upyaJambo la kusikitisha zaidi mvamizi ndio kaomba poooooo
Hii haitasahaulika kamwe
Hiiii kwa mujibu wa nani?Malengo yametimia mpango wa nuclear ulokua unaelekea mwishoni umefutwa so itabidi waanze upya
🤣 🤣 🤣 Iran Wairan ni watu wa soundAyatollah might be the King of Pettiness!!!
View: https://x.com/jacksonhinklle/status/1937487970027602406
Wanaanzaje upya wakati Iran wana uranium imerutubishwa kufikia kiwango cha zaidi ya asilimia 60? Na mpaka sasa USA na Iran hawana uhakika mahali ilipo!Malengo yametimia mpango wa nuclear ulokua unaelekea mwishoni umefutwa so itabidi waanze upya
Huyo maamuma 100 others amepagawa ni wa kumsamehe tu.Mkuu umeamua tu kunisema.
Nimeandika "si shambulio kubwa Sana"
Soma vizuri tena Mkuu
Wanaanzaje upya wakati Iran wana uranium imerutubishwa kufikia kiwango cha zaidi ya asilimia 60? Na mpaka sasa USA na Iran
Lengo ilikua kuzuia udhalishaji ndio maana wakapiga vinuWanaanzaje upya wakati Iran wana uranium imerutubishwa kufikia kiwango cha zaidi ya asilimia 60? Na mpaka sasa USA na Iran hawana uhakika mahali ilipo!
Vifijo na nderemo vimeanza huko nyumbani kwetu Iran!!!🤣 🤣 🤣 Iran Wairan ni watu wa sound