SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Iranian president says ready to resolve issues with US​


President Masoud Pezeshkian says Iran is ready to resolve issues with the United States based on international frameworks.
Pezeshkian made the comments in a phone call with Saudi Crown Prince Mohammed bin Salman, Iran’s official news agency IRNA reported.
The call comes a day after US President Donald Trump announced a ceasefire deal between Israel and Iran.
 
Wakuu, nimecheka sana.
Asanteni
 
Au ameona bora kusitisha mapema ili asiishiwe pumzi, kwa sababu bado kuna ***** ***** za China, Urusi, Korea
Ukiona marekan anarudiarudia maneno kuwa hataki kufanya jua nikinyume chake.

Halafu hao jamaa ni viburi,hawajifichi .
Msaada wao ni wawazi.
 
Marekani ndie kiranja wa hii dunia.
Tutake ama tusitake.
Iliyoweza kumtikisa kweli kweli marekani ni Soviet tuu.
 
Pale itakuwa alilala na mwendawazimu, kuamuka dish likawa limeyumba, ndo akafanya miscalculation. Kuna kamsemo, ka panya alielamba Viagara, ilivomuingia,akaanza kumsaka paka eti amzagamue. Kaingia mtaani anaulizia kama hajaonekana. Ndo kilichomkuta msela
 
Vitq imesitishwa, ni jambo jema sana ila next time Iran aache ufala awekeze kwenye kuboresha Intelligence hasa counter intelligence. Alichofanyiwa na Israel sidhani kama unaweza kukifanikisha hata kwa Rwanda. Pesa anazotumia kuwekeza kwenye makombora na nyuklia hazina maana kama waliopaswa kusimamia matumizi ya hizo siraha na nyuklia wanaweza kuuliwa tu kiboya kama vibaka tu wa kawaida mtaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…