SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Tunamalizia...............

​

US strikes failed to destroy Iran's nuclear sites, intelligence report says​

​

June 25, 2025​


​

Trump rejects leaked intelligence that says strikes did not destroy Iran nuclear programme​


​

Trump rejects intel suggesting strikes on Iran did not destroy nuclear sites​


Wednesday 25 June 2025 06:03, UK

 
unajipa moyo tu.kama simba na yanga.
 
Hwa wa kwetu ambao huwa wanadukuliwa account zao.. Si ku likitukuta jambo tutakuwa weupe peee kiusalama. Msemaji wa serikali siku ile hadi sauti inakauka akichimba mkwara vijana wanao andika NRNE MITANDAONI
 
Aliekuambia ni nani?!
Unajua maana ya regime change?
Angalia nchi za kiarab zilipofanyiwa hicho.
Alaf angalia aliwekwa nani?

Hapo wanataka watoe mfumo wa ki ayatollah.
Sio mtu
makundi ya watu wenye mlengo wa kiislam huwezi kuubomoa kwa kuua viingozi wao. maswahaba kalibu ote wa mtume waliuawa na hadi leo uislam unaendelea kukua.

wanabahati hao waisrael ,kipindi hiki angekuwepo yule AHAMEDINEJAD Rais aliepita kabla ya rohani saahizi mngeongea mengine zaidi huko israel.maana yule ndio alikua anaichukia zaidi israel.nakumbuka kipindi chake walitaka kushambulia hivihivi,ila wamarekani walimuonya huyuhuyu netanyahu. naona netanyahu mkulupukaji na anatabia ya kujiamini zaidi.

kuna makundi kama TAREGI huko africa ya magaribi yana sumbua hadi kaskazini tangu karne ya 4 hadi leo yapo.

angalia waasi huko somalia unaona kuko kimya kwasasa lakini kuna siku utadikia wanakinukisha.
 
Habari yako mchambuzi kutoka tandale. Kwa Iran Rais ni kama Kasim Majaliwa tu wa Bongo. Siyo Amiri jeshi Mkuu, hivyo hawezi kuamrisha jeshi wala kutoa amri yoyote ya kushambulia. Hivyo, hata angekuwepo Ahmedjan asingefanya kitu.
 
Habari yako mchambuzi kutoka tandale. Kwa Iran Rais ni kama Kasim Majaliwa tu wa Bongo. Siyo Amiri jeshi Mkuu, hivyo hawezi kuamrisha jeshi wala kutoa amri yoyote ya kushambulia. Hivyo, hata angekuwepo Ahmedjan asingefanya kitu.
kamahujui ahamednejad ndio alietoa kauli ya kuifuta izrael kwenye ramani ya dunia. kauli hii ndio kauli uliowatisha zaidi akina netanyahu na chawa wake.
 
View attachment 3381960

Al Jazeera naona wameamua kuweka data kabisa.
Ila wamesahau wanajeshi , viongozi wa serikali na wanajeshi pamoja na scientist.

Maana karibu wanajeshi ya iran 1000 wamepoteza maisha.
Wameuwawa kwenye makambi ya jeshi.
Basi kwa Israel watakuwa hata 10000 wameuwawa maana waliokimbia nchi wamefika million
 
Ila Israel na USA wamesema wamesitisha na Iran pia asitishe process zake za nuclear akifufua tu wanafufuka naye, nahisi ndio wakati mtaona mabango ya Pray for Iran 🙏 yakiwa mengi kuliko hata matangazo ya marufuku kukojoa😇
Mayahudi wa kwa mtogole wako kwenye shelter kwa aibu
 

Attachments

  • Screenshot_20250625-075639.png
    1.5 MB · Views: 26
Tathmini ya awali ya kijasusi ya Marekani imebaini kuwa mashambulizi ya wikiendi yaliyolenga vituo vya nyuklia vya Iran yamechelewesha tu mpango wa nyuklia wa Tehran kwa miezi michache, kwa mujibu wa vyanzo vitatu vya habari vya ndani. Ripoti hiyo ya siri, iliyotolewa na Shirika la Ujasusi la Jeshi la Marekani, DIA, inapingana na madai ya Rais Donald Trump na maafisa waandamizi wa Marekani waliodai kuwa mashambulizi hayo yalifuta kabisa uwezo wa nyuklia wa Iran. Je, Trump anapotosha umma kwa makusudi kuhusu athari halisi za mashambulizi dhidi ya Iran — au ni vyombo vya kijasusi vya Marekani vinavyokosa umoja na uaminifu katika tathmini zao? #DWKiswahili #iran #Israel #usa #DonaldTrump.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…