SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Asije akapiga atomic tu hapo Teheran.

Ila waifanye homework vizuri maana hao waajemi inaonekana kwenye hiyo idara ya makombora nao wako vizuri.
Binafsi kwa hiki kiburi Cha Iran nuke anayo amini trust me broo.

Nafikiri kama Hali itaendelea hivi 100% vita rasmi ya morden inalipuka middle east Kuna haja trump sasa kufanya jambo la busara auaiangamize jamii ya hapo.
 
Mimi sio Pro Israel kama wewe ulivo Pro Iran

Am just observer nainjoi show vita inatakiwa kua hivi uyu anakuwasha chumbani kwako na wewe unamuweka ya maana sebureni kwake kama unachek UFC FIGHTERS wakiwa kwenye octagon vile

Utamu wa Israel na Iran si kama vita vya Gaza haina Radha
Mbumbumbu mmoja anaanzisha vita anategemea Allah NDIO aje amsaidie anatwagwa weeeeee ana anza kulilia UN sijui wanawake na watoto
 
Iran anaandaaga tu mabomu huwa hajali kuhusu raia wake siku vitu kama hivi vikitokea, ndio maana mimi katika vita hii nampa credit Israel anatumia akili nyingi ata kwenye mission zake anazo endelea kufanya. Huwezi mwambie raia akajifiche msikiti kukwepa missiles huo ni upuuzi na kama ilivyo kawaida Israel anatwanga hata hiyo misikiti, kwao ni sehemu tukufu ila kwa Israel sio.
 

Attachments

  • Screenshot_20250615-174448.jpg
    55.6 KB · Views: 23
Toka Oct 2024 Air Defense systems za Iran zilikuwa zimeharibiwa na majeshi ya Israel yalipotembelea Tehran niliwaambia hamkusikia lakini leo hii unaona ndege-vita za Israel zinajipigia popote zinapotaka bila upinzani wowote hata sasa hivi ndege vita za Israel zimepiga maeneo nyeti ya usalama wa taifa pamoja na uwanja wa ndege.

Ukatae ukubali Iran sasa hivi iko UCHI WA MNYAMA watu wanajipigia tu popote wanapotaka israel ni Baba lao huko mashariki ya kati hadi huko Uajemi anaunguruma kama SIMBA dume!!!!

Acha kupotosha mafias wakuu wa Jeshi la Iran waliouwawa ni zaidi ya 30 acha kupotosha watu na wanasayanzi waliokufa mpaka leo mchana ni zaidi ya 60 na wengine waliopata kamwanya wamesepa kwenda Russia. Ana bahati sana huyo Babu yenu Ayatollah huko kamdomo kake katamponza alishawahi kukufuru kuwa anatamani israel ifutwe kwenye uso wa dunia mbele ya macho yake. Sasa wanaume wameamua kumwacha maksudi ili aone israel inavyoihenyesha Iran mbele ya dunia!!

Jioni hii mjini Tehran kuna mafuriko ya maji na kuna wengine wanakimbia mji wao wenyewe kitu ambacho huwezi kukiona Israel wao wanayo kazi moja tu kwenda kwenye Basement ambazo zako kila mahali na kuna kila kitu unaweza hata kulala bila wasiwasi wowote na ndiyo maana rate ya vifo kwa upande wa Israel iko ndogo sana kuliko huko Iran maana nchi hiyo imewekeza sana kwenye Ugaidi kuliko Huduma za kijamii.

Iran wao wamewekeza sana kwenye kufadhili Ugaidi huko Yemen-Houth, Lebanon-Hezbollah na Hamas-Gaza na kutengeneza silaha za masafa marefu ili kuchokonoa nchi zingine kutumia Mamluki wake.
 

Attachments

  • IMG_7040.mp4
    13.5 MB
  • IMG_7039.mp4
    6.1 MB
Binafsi kwa hiki kiburi Cha Iran nuke anayo amini trust me broo.

Nafikiri kama Hali itaendelea hivi 100% vita rasmi ya morden inalipuka middle east Kuna haja trump sasa kufanya jambo la busara auaiangamize jamii ya hapo.

Busara inahitajika sana pale, mataifa makubwa yaache kuwa biased na kumdekeza Israeli, yajaribu kuwa fair kushughulikia masuala ya middle east kuna siku mzahamzaha itapigwa nuke pale.
 
Hii vita ni ya Iran na Israeli, hayo ya kumsubiri marekani ni aingilie kati ni ufala.
 

Unajua lakini Iran yuko kwenye vikwazo zaidi ya miaka 40 huku zaidi ya hiyo miaka 40 Israeli akiwa free tena akiwa msaada na mataifa makubwa ya Ulaya.

Unakua chanzo cha ugomvi wa Iran na Israeli ni Palestina na si vinginevyo?
 
Hali sio poa sana kwa upande wa Iran, labda tusubiri usiku akishaswali swala ya jioni,Maana missiles 50 zote kutunguliwa sio poa.
Ayatoulah inahitajija apewe pisi apige ata bao moja ajiliwaze
 

Attachments

  • Screenshot_20250615-174607.jpg
    436.8 KB · Views: 28
Iran amewekeza huko ili apate usidizi kueneza sera zake,pili hawa jamaa wanajua kuwa Iran inampango wa kuwa supa pawa tena ndiyo maana wanamfubaza mapema kabla hajafika huko.
 
Wewe hujui unachoshabikia!!!! Mwanzoni ulikuwa Unawaramba makalio Iran na kusema israel haiwezi kuwagaragaza Ona sasa wanavyochezea kichapo cha mbwa koko hadi aibu ndege-vita za Israel zinapiga popote zinzpotaka utafikiri nchi haina Jeshi!!!
 
Mi siongei sana..
Ndugu zako bado wanatafuta wenzao kwenye vifusi..

View: https://www.youtube.com/watch?v=ncM_F4IxLe4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…