Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Je,juzi juzi hapa ulimsikia Trump alizungumza nini kumu husu Natenyahu - kama Trump naye ameanza kukereka kumuhusu Bibi,je sisi watu Baki ndiyo tujifanye tunamjua zaidi kuliko Trump!! Personally I don't think SO.Netanyahu ni mtu na nusu kutoka mateka 251 mpaka sasa wamebaki 50 si haba yuko vizuri sana.
Hamas ndiyo basi tena kwa kipondo kinachoshushwa huko Gaza kinatosha kuwafanya wewe marehemu wasipoangalia.
Kwa israel hakuna kama BIBI Netanyahu anajua sana kushika pabaya magaidi waulize Ismail Hanniyeh,Hassan Nasrallah,Yahya Sinwar,Mohamed Dief bila shaka watakupa ukweli!!! Kwa taarifa yako tu Netanyahu alipewa tenda ya kumaliza vita hii ndiyo atoke madarakani na kazi hiyo alipewa na wananchi wa Israel wenyewe!!!!
Maneno tu na vitisho, mbona kwenye vita iliyo isha hivi karibuni Israel ilipigwa kisayansi na Iran, mpaka sasa inaona aibu, maji yakiwafikia shingoni wana mkimbilia Trump kuomba msaada kwa kificho,wakisha nusuliwa na Trump kutoka kwenye zahama wanajitia kutamba kwamba wao zaidi, wanajitapa tapa kwamba silaha zoo za ulinzi WA anga hakuna Duniani wao ndiyo wanaongoza, lakini juzi hapa tuliona missiles za Iran zikiitwanga Israel kama watoto wadogo - Integrated Air Defenses za silaha za Israel hazikufua dafu mbele ya missiles za Iran, missiles za Iran zilikuwa zinanyesha kama mvua na kupiga miji muhimu na infrastructures nyingi vikiewemo air bases na viwanda vya silaha mpaka Israel ikapiga marufuku uharibifu/hasara hizo zisionyeshwe adharani ie zisipigwe picha/video clip kuonyeshwa kwenye mitandaoni, kipigo kilikuwa ni aibu tupu Kia Israel tukiwekea maanani tabia zoo za kujitapatapa na kuwaonea watu wanyonge kama Wapalestina.💥
Waziri wa ulinzi wa Israel anasema, ikiwa wanarudi tena, watarudi kwa nguvu kubwa zaidi
Anasema Israel ina mkono mrefu unaofika Tehran na popote ndani ya Iran, hivyo hakuna popote pa kujificha ndani ya Iran
View attachment 3400517
Kusema kweli Natenyahu ni liability kwa Taifa LA Israel siyo asset, na Bunge la Israel lisipo fanya fasta kumuondoa Natenyahu madarakani, basi wakae wakijuwa kwamba atawaletea hasara na uharibifu mkubwa wa Taifa lao ambalo uhusudu sana masuala ya vita kwa kuwaonea majirani wake ambao wengi wao ni dhaifu kijeshi, lakini sasa nina uhakika kwamba vita ya juzi hapa itakuwa imewakata kilimi limi Wayahudi, hawatarudia tena kuichokoza'/kuichokonoa Iran.UZI huuu bado umekuwa pambio la Israel
Taarifa Netanyahu kasema ndege zipo Tayali mwanzo ivyo ivyo Taarifa anatoa kutoka Iran tu Iran anapigwa Iran anapigwa Iran anapigwa Iran anapigwa haaaaaaaaa hatari
mwisho wa Vita vimiji 13 ikiwemo Telaviv na Haifa imechakazwa vibayaaa sana !!
tuje sasa uko Iran ipo shwaliiiiiiii
vipigo vikali wanchi wa israel wanaandama kumtaka Netanyahu arushe taulo Ulingoni kwasasa picha nyingi zinafutwa !!
uyu mwamba anakwambia maandamano ya kumpinga Ayatollah yameanza miji mingi uko Iran !!
haaa sawa sio mbaya nanyinyi mjifariji kidogo mana majukwaa yamechafuka na kudundwa kipenz chenu !!
uku kutabaki chochoro yenu ya kufutia machonzi wapenzi kindaki ndaki wa taifa teule ila poleni sana !!
neno langu kwenu ili tu Netanyahu na Israel kwasasa ni ngumu sana kuanzisha Vita na IRAN !!
Kama kupiga iran zaid watategemea UGAID tu !!
Israel kashajijua ni mdogo sana kwa Iran kwasasa kinyume na mnacho kiwaza nyinyi kuwa Israel itaanzisha Vita ngumu Kwasasa!!
Kinyume chake ni Israel inawasiwasi mkubwa ikiwa Iran italekebisha mifumo yake ya Anga ikawa kama mwanzo na zaid ya mwanzo kunauwezekana Iran ndio itaanza Vita upya eneo ilo !!
ndio mana vikao uko Marekani vikao avishi inatafutwa mbinu kipindi ichi kuituliza Iran pengine kuna vikwazo itaondoshewa ili kuivuta ran ije tena kwenyemazungzo uko OMAN !!
Iran inaonekana nayeye ataki Israel ijipange upya ndiomana kwasasa Iran inaipiga Israel kutokea Yemen maeneo muimu ndio yanapigwa !!
jana uwanja wa ndege muimu zaid umepigwa tena sio kweli kuwa Israel imezuiya kombora.. waongo!!!
kwasasa ukweli ni Israel ndio ipo njia panda sio Iran !!
kwasasa Iran hakuna wakuwachokoza na ndio mana narudia Iran inaitwanga Israel kutokea Yemen !!!
Iran aina hofu yoyote tofaut na UZI hu unavyo wachanganya ingekuwa kweli !!
kiakilil tu Iran ingeacha alakati kwenye eneo ijipange upya !!
lkn tunajua bado Israel inapigwa kutokea YEMEN na Meli zinazamishwa pale bahari nyekundu !!
muwaombee kwasasa msiwaombe wao hapana muwaombeee wao wapite Salama kipindi ichi !!
mana ndio wamemwaga mafuta kabisa ktk eneo kushindwa kwa Israel ktk Vita vya siku 12 kunajidhiiilisha kivitendo Sababu Vita imesimama lkn Israel inaendelea kupigwa kama mwanzo kutokea YEMEN !!
kama Iran ingeshindwa manake kwenye mazungumzo ya kusitisha Vita Iran ingetakiwa kuwazuiya Yemen wasirushe makombora kutokea uko.!!
Lkn sote mashaidi Israel inaendelea kupokea makombora kutoka Yemen bado tu wajinga wanaamini Israel ndio kashinda Vita !!
Na Iran ndio imetupa taulo endeleen kujifariji ndugu zetu ndiomana tunawaacha mwendelee kufalijiana atuwaingilii kama leo basi tu imetokea kuwapa chai chungu kwenu poleni kidogo.
Tatizo lako wewe humjui Trump!!!Je,juzi juzi hapa ulimsikia Trump alizungumza nini kumu husu Natenyahu - kama Trump naye ameanza kukereka kumuhusu Bibi,je sisi watu Baki ndiyo tujifanye tunamjua zaidi kuliko Trump!! Personally I don't think SO.
Mkuu hu u ujumbe umeniandikia naeleta updates? Maana Kuna ambayo sijayasema lakini umenilisha manenoUZI huuu bado umekuwa pambio la Israel
Taarifa Netanyahu kasema ndege zipo Tayali mwanzo ivyo ivyo Taarifa anatoa kutoka Iran tu Iran anapigwa Iran anapigwa Iran anapigwa Iran anapigwa haaaaaaaaa hatari
mwisho wa Vita vimiji 13 ikiwemo Telaviv na Haifa imechakazwa vibayaaa sana !!
tuje sasa uko Iran ipo shwaliiiiiiii
vipigo vikali wanchi wa israel wanaandama kumtaka Netanyahu arushe taulo Ulingoni kwasasa picha nyingi zinafutwa !!
uyu mwamba anakwambia maandamano ya kumpinga Ayatollah yameanza miji mingi uko Iran !!
haaa sawa sio mbaya nanyinyi mjifariji kidogo mana majukwaa yamechafuka na kudundwa kipenz chenu !!
uku kutabaki chochoro yenu ya kufutia machonzi wapenzi kindaki ndaki wa taifa teule ila poleni sana !!
neno langu kwenu ili tu Netanyahu na Israel kwasasa ni ngumu sana kuanzisha Vita na IRAN !!
Kama kupiga iran zaid watategemea UGAID tu !!
Israel kashajijua ni mdogo sana kwa Iran kwasasa kinyume na mnacho kiwaza nyinyi kuwa Israel itaanzisha Vita ngumu Kwasasa!!
Kinyume chake ni Israel inawasiwasi mkubwa ikiwa Iran italekebisha mifumo yake ya Anga ikawa kama mwanzo na zaid ya mwanzo kunauwezekana Iran ndio itaanza Vita upya eneo ilo !!
ndio mana vikao uko Marekani vikao avishi inatafutwa mbinu kipindi ichi kuituliza Iran pengine kuna vikwazo itaondoshewa ili kuivuta ran ije tena kwenyemazungzo uko OMAN !!
Iran inaonekana nayeye ataki Israel ijipange upya ndiomana kwasasa Iran inaipiga Israel kutokea Yemen maeneo muimu ndio yanapigwa !!
jana uwanja wa ndege muimu zaid umepigwa tena sio kweli kuwa Israel imezuiya kombora.. waongo!!!
kwasasa ukweli ni Israel ndio ipo njia panda sio Iran !!
kwasasa Iran hakuna wakuwachokoza na ndio mana narudia Iran inaitwanga Israel kutokea Yemen !!!
Iran aina hofu yoyote tofaut na UZI hu unavyo wachanganya ingekuwa kweli !!
kiakilil tu Iran ingeacha alakati kwenye eneo ijipange upya !!
lkn tunajua bado Israel inapigwa kutokea YEMEN na Meli zinazamishwa pale bahari nyekundu !!
muwaombee kwasasa msiwaombe wao hapana muwaombeee wao wapite Salama kipindi ichi !!
mana ndio wamemwaga mafuta kabisa ktk eneo kushindwa kwa Israel ktk Vita vya siku 12 kunajidhiiilisha kivitendo Sababu Vita imesimama lkn Israel inaendelea kupigwa kama mwanzo kutokea YEMEN !!
kama Iran ingeshindwa manake kwenye mazungumzo ya kusitisha Vita Iran ingetakiwa kuwazuiya Yemen wasirushe makombora kutokea uko.!!
Lkn sote mashaidi Israel inaendelea kupokea makombora kutoka Yemen bado tu wajinga wanaamini Israel ndio kashinda Vita !!
Na Iran ndio imetupa taulo endeleen kujifariji ndugu zetu ndiomana tunawaacha mwendelee kufalijiana atuwaingilii kama leo basi tu imetokea kuwapa chai chungu kwenu poleni kidogo.
💥
Wairan Diasporas, wamepanga kufanya maandamano Germany, yenye lengo la kumuunga mkono Reza Pahlavi ambae ni mpinzani wa Ayatollah
View attachment 3401914
Naunga mkono hoja maana si rahisi kwa Jeshi lolote duniani kupoteza Makamanda waandamizi 30+ kwa siku moja hayo ni matumizi mabaya ya akili walizopewa na mnyazimungu wao!!!!💥
IQ ranks za hivi karibuni zinaonyesha kuwa Iran ni moja ya nchi yenye watu wenye akili sana duniani
View attachment 3401858
Kumbuka kwamba Wayahudi wengi wanao ishi Israel wana asili ya Urusi banda ya kuhamia huko kwa wingi kutoka Urusi na lugha ya Kirusi inazungumzwa kwa wingi nchini Israel, hivyo Putin atawapendelea Wayahudi na kuelewana zaidi na Viongozi wa Israel.Urusi bana mie SIJAWAHI kumuamini kwa Iran tangu day one.
Maana toka nijue waliomsaidia Saddam Hussein dhidi ya Iran Urusi alikuwepo aaaah basi tena sikumuamini Urusi tangu hapo.
Namuona Urusi ana uhusiano madhubuti sana na India aisee.
Sio wengi sana mkuu,ni sehemu ya raia ila sio wengi kutoka Urusi.Kumbuka kwamba Wayahudi wengi wanao ishi Israel wana asili ya Urusi banda ya kuhamia huko kwa wingi kutoka Urusi na lugha ya Kirusi inazungumzwa kwa wingi nchini Israel, hivyo Putin atawapendelea Wayahudi na kuelewana zaidi na Viongozi wa Israel.
Sijajua mkuu, labda wanataka vyoteWanataka demokrasia au ufalme?
Tathmini kutoka wapi?💥
Tathminj iliyofanyika inaonyesha kuwa Iran itachukua miaka kadhaa na mabilioni ya dollar ili kuweza tena kuendelea na program ya nuclear
Hata hivyo anasubiriwa Ayatollah kutoa jibu la maamuzi ya kuanza tena mpango huo au kuachana nao kabosa
Maneno ya jaba hayo wajisemee wakenya.💥
Yoav Gallant ambae ni waziri wa ulinzi mstaafu ameandika ujumbe mzito kwenda kwa Ayatollah Khamenei kuwa Israel wataishambulia kwa nguvu zaidi endapo Iran wataanza tena mpango wa nuclear