SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Huyu mzee afe la sivyo anaenda iangamiza nchi.
Anandoto kichwani mwake sasa aijatimia ya kuishinda Iran !!

na kashajua ni ngumu kutimia ndiomana anatapatapa Israel imedhalilika sana kwenye vile Vita..
 
Walikufa kizembe kabisa harafu kwa kujifariji na kujipa moyo wakasherehekea ushindi!! Hapo ndipo ujue Iran wana akili sana!!!!
Kwann wasishangilie ikiwa adui yako akuwezi kias anatumia UGAID kupambana naww !!!

we fikiria Israel imepeleka nguvu kazi watu Iran ikalemeze kwanza mifumo ya Anga !!

Eti ndio Israel iweze kushambulia hii tu inatosha kuonesha udogo wa Israel kitechnology ya Kijesh kwa Iran.


IRAN imemwacha Israel kama alivo na mifumo yake ya Anga ikiwa sawa kabisa!!

Iran sio mdogo kijesh kias kuitaji kupeleka vijana kwanza uko Israel wakalemaze Mifumo ya Anga ndio apige !!

hii tu kwa mwenye Akili inatosha kufaam nani ndio MWAMBA wa Technology ya kijesh !!

Iran kaichakaza miji yote mizuri ya Israel wakiwa uko uko Iran yani watu wapo zao Iran wanakunywa chai siku 12 tu shubamit !!

uko km 2000+ Waisrael wakawa tayali njian kwa miguu kulikimbia taifa teule la mchongo

Mimi naamini jeuri hii ya Iran sasa iwe kinyume chake !!

waisrael ndio wawe kwao uko afu Iran ichapike kias kile adi Tramp arushe taulo Ulingoni haaaaa!!

awa waisrael wa Bonyokwa wangetusumbua sana apa JF vicheko kwao vingekuwa vingi!!

na mapambia ndio Usiseme Sadaka pia zingekuwa nyingi kwenye Vijiwe vyao. !!

haaaa Iran kawabakishia pesa zao mifukoni!!
 
Ulichokiandika mwenyewe unakielewa, kimekaa kijinga sana hakina facts kimejaa ushabiki tena wa kijinga
 
Hii mada unayoiongelea hapa unaifahamu au ni mawazo yako tu.
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Video footage: Mlipuko mkubwa sana umetokea muda chschr uliopita eneo la uwanja wa ndege Mehrabad airport Tehran
 

Attachments

  • 2025-07-12_16-16-45_2.mp4
    443.1 KB
πŸ’₯πŸ’₯
Jarusalem post wanaripoti Israel inajiandaa na mashambulizi ya kijeshi ndani ya Iran
 
πŸ’₯
Spika wa bunge la Iran Mohamed Ghalibaf ametembelea makaburi ya Behesht Zahra ambapo makamanda waliouwawa na Israel wamezikwa


 
πŸ’₯
Waziri wa Mambo ya nje wa Iran anasema Iran ipo tayari kwa mazungumzo kuhusu nuclear, lakini kuhusu kurutubisha uranium hilo halina mjadala/mazungumzo
 

Attachments

  • 20250712_164822.jpg
    134.1 KB · Views: 18
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…