SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Muendelezo imekua tamthilia hio .we sema tukio
Asa kama sehem imelipuliwa unataka muendelezo Gani ?
Mkuu hiyo kwa sasa itakua kurudi nyuma Sana, Nina videos na picha nyingi tu mpya za hii vita kotekote Iran na Israel, kwa nn nirudi kusimulia jambo la nyuma lisilokuwa na muendelezo wakati mapya yapo?

Mfano: Israel ikifanya shambulizi la kutaka kumuua Raisi wa Iran, kutokana na hilo Iran kwa sasa wameanza uchungui kwenye idara ya raisi, Iran inasema inajiandaa kulipa kisasi,
Hyo ndio mfano wa muendelezo
 
Mbona husemi mpk tupige kelele ...mzee wa achechee production
 
Alaf miendelezo ya milipuko yake inaisha gari la zima moto likifka tuh
 
Muacheni kijana alete taarifa mbona nyie hamleti zenu
 
Iran anapigwa ndani kwa ndani lakini wajinga wa Bongo eti hawataki kabisa kusikia hata wakionyeshwa video na Picha hawataki tu!!!

Mtake msitake Iran anapigwa kipigo cha ndani kwa ndani na hana uwanja wa kukiepuka kipigo hicho!!!!
 
Habari kama hizi huzipati kwa Aljazeera maana hicho ni chombo cha Magaidi!!
 
Taarifa zake ni zake yeye tu ukija kwengineko ukuti iyo habari mfano Al jazeera lkn ndugu yetu bado anatutangazia Vita vinaendelee !!!!
Sababu huwa anaambatanisha na picha au video sioni kama ni tatizo all in all nafurahi namna anavyozidi tupatia taarifa muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…