Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Si mlisema kakimbia Israel?Netanyahu kaenda kwenye sehemu iliopigwa na makombora ya Iran anasema "Tazameni Iran ilichofanya, vipi kama wangekuwa na nuclear wangefanya nini.."
Zee nafiki sana lile na masikio yake kama popo..
Hivi kuna mtu alimtuma akamchokoze Iran? ngoja wapigwe...
Israel ukimotoa USA na Britain hawezi simama hata masaa matatu na somaliaTukiacha unafiki na ushabiki Israel apewe heshima yake π«‘ anastahili
Hahahaha kinachofuata nenda kachokoze upande wa pili hahahaha ukipigwa spana usikimbie tafuta fact Rudi kupambania ubigwaNipo na Israel bega kwa bega mpaka itakapofunzwa adabu na muajemi π
Kutoka Israel kwenda Greece ni flight ya 2 hrs, sasa unabishana na wananchi wake ambao ndio walisema?Si mlisema kakimbia Israel?
Duuh hii sasa ni hatariIranian intelligence officer and brigadier general Mohammad Kazemi, and his deputy, are reportedly buried under the rubble of the IRGC intelligence headquarters after an Israeli airstrike hit the complex this afternoon.
Safi Sana SASA vita kamili inaanza upyaaaaa
Mjinga unaweza kuwa ni wewe usifikiri China inaendeshwa kimihemko kama urefu wa akili zako ama zangu.Mchina namuona mjinga sana, huu ndio ulikuwa wakati wakutest vyuma vyake kwenye uhalisia kwa kumpa Iran zile ndege zake zinazofanana na F-35 pamoja na makombora yake kutest perfomance.
Hahaha unataka kuwapiga spanaKomeo la chuma na wenzio nitoeni kweny block mnakimbiaπ π π π wagalatia nitoeni kweny block zenu
Ukweli ni mhanga wa kwanza kwenye vita yoyote ileHali inakuwa hivi kweli? Inasikitisha sana na kuumiza moyo. Israel mbona mnawakosesha amani wenzenu?mswalieni mtume wajameni.
View attachment 3370076View attachment 3370082
Safari hii Mtanyooka tu Iran hawana chao tena walikuwa wanasifiwa sana kumbe debe tupu sasa hivi Israel inajipigia tu kama wapendavyo.Iran wanakimbia nchi.
Alisikika yahudi mmoja wa namanyele
Hii vita watakula hasara wote ila faida itakua kwa wakubwa wa dunia... Itafika wakati mataifa mbalimbali watapeleka silaha zao kutest kwenye kambi za USA ili wajue ubora wakeHahahaha kinachofuata nenda kachokoze upande wa pili hahahaha ukipigwa spana usikimbie tafuta fact Rudi kupambania ubigwa
Hamjasikia kuwa Iran wameshapandisha bendera nyekundu ? ππ£