SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Iran wenye nafasi za juu ni machawa na ni vilaza.

Watu muhimu waliowahi tokea hapo ni Qasem Soleimani mzee wa mbinu za proxy, Hassan Tehrani Moghaddam father of Iranian ballistic missiles, Mohsen Fhakrizadeh baba wa mradi wa nyuklia.

Na hao wote waliuwawa na maadui wa Iran. Hawa wengineo ni kamlete, unajua sana dini na unapendwa na Ayatollah, vigezo. Hata Rais wa Iran na Waziri wa Mambo ya Nje lazima wamsikilize Ayatollah hata kama ni mweupe kwenye jambo fulani. Hata bunge pia. Otherwise IRGC inawamaliza wenye mawazo tofauti.
 
Naomba unisadie Iran kapiga na nchi ngapi mpaka sasa na Israel kapigana na nchi ngapi mpaka sasa?
 
We are living in days of biblical proportions!

Is this the end of Iran? Will Israel destroy the Islamic regime, allowing Iran to once again become friends with the west? Can Iran turn this around and surprise the world with a resounding victory against Israel?

If you know biblical prophecy, you know the answers to these questions. What the prophet Ezekiel saw about the Middle East more than 2500 years ago is no longer a distant vision. It’s today’s current events—right here, right now!

The near realities not just of Israel and Iran, but of Russia, Turkey, and other world players, can all be found in the prophetic Word of God. To better understand God’s perfect plan, preorder your copy of Exploring Ezekiel today: Amazon.com
 
Unafahamu kwanini Netanyahu alimfuta kazi huyo Waziri wa Ulinzi?
 
Ukiona vita inaanza viongozi wote wa jeshi ndio wanatangulia kuuliwa basi jua hata hao wadogo watafyekwa tu

Siku zote vita huwa ushindi ni morali na wakubwa namna wanavyoongoza wadogo kupambana sasa leo unaambiwa mkuu wa ujasusi wa Iran na Naibu wake wameuliwa katika jengo la ujasusi walilokuwepo leo

Yaani mnajua kwa nini Iran ni wajinga, huwezi kuwa upo vitani alafu watu wazito wanakaa sehemu zile zile maofisini mwoa wakati unajua mda wowote mnaweza kulengwa

Kitu nachokiona israel analenga watu wazito na sehem nzito kila siku anauwa watu wazito sana jeshini ila Iran anamwaga makombora pasio target ya muhim

Nimejiuliza kama watu wazito kwenye system ya iran wameuliwa kwa vifo vya kikatili je hao wanajeshi wadogo wana.hali gani
 
Upo sahihi. Huwezi kushinda vita kama waongoza vita wameuwawa

Marekani mwenyewe alikimbia kwenye vita ya Vietnam baada ya majenerali wake 9 kuuwawa vitani.

Wanajeshi wadogo wakawa wanatapa tapa hawana viongozi.. marekani akaamua kuondoa wanajeshi wake wote vitani vietnam, sababu huwezi kupigana vita bila viongozi wa jeshi lako
 
We pimbi wengine hatutaki matatizo na serikali hatutumii VPN leta source nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…