Best_Carmine
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 897
- 1,439
Tumieni source official yaani watu wanahama na saivi zaidi ya 1100 wamejeruhiwa na vifo zaidi ya 220 halafu unasema wanaishi maisha normal kisa mtu kapost tweeter tena ukute ni mhezibollah anatumia ile pagers yake ambayo haikulipuka kipindi kile
Ngoja tuone, mda ni rafiki mzuri sana.Iran atatupa taulo Chini, muda ni Mwalimu
Shida yangu ule uchebe usimalize hii wiki uzi ufungwe turudi kwenye vita ya UkraineHizo salamu tu bado show haijaanza mpaka ayatollah aliwe kichwa
Ngoja tuone, mda ni rafiki mzuri sana.
Muda sio rafiki ni adui mkubwa wa Binadamu, nani alikwambia muda ni rafiki mzuri sana? Muda ni adui katili sanaNgoja tuone, mda ni rafiki mzuri sana.
☝️Laana zingine. Kujitakia haya endelea kumfokoa mtaro mama yangu na umwambie Deni lipo palepale
Hamza amiriWeka alama ya @ kisha usiache space, ambatisha jina la mwenye uzi kwa kuanza herufi moja moja, Jamii Forum automatically watakuletea jina hilo! Kisha uta click hilo jina na kisha unakuwa umesham-tag unayetaka. Kisha iachie comment yako hewani!
Ukitaka ujue kama umefanikiwa kum-tag, jina lake litaonekana kwa rangi ya blue kwenye comment uliyoiachia hewani.
Mfano, nakutag wewe
gallow bird
☝️Unajieleza mwenyewe we mtu mbaya kweli umekubali kunila🍩
☝️Endelea kufanya ujinga unanila kibungo usiku mzima
☝️We baasha wangu fanya vitu vingine punguza wewe acha kunishika huko.
Huko Putin anafokoa tu kila anglePutin ghafla kasahaulika humu, bila shaka sasa hivi Putin anapiga Ukraine kwa jinsi anavyotaka akijua Dunia nzima attention iko Israel akimwinamisha Iran kifudifudi
Yenye speed ndogo ni decoyYanatofautiana speed sababu anarusha missiles za aina tofauti, wewe hapa ndio uniletee uthibitisho wa hizo decoys na sio speed kutofautiana