SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Ko kati ya jana na leo siku ipi Israel kudhurika zaidi
 
Naona Iran naye anapiga miundombinu ya kiuchumi.
Maana hizo sehemu ambazo makombora yametua inasemekana ndio kuna oil refinery plant ya Haifa.
Hakika hili hakina ubishi

Nini kinaendelea Tehran nilikuwa mbali na TV
 
Wanasema kuwa Israel imeshambulia tena na inasemekana Kuna Kamanda kauawa wa Iran,pia Kuna oil depot imeguswa.
Naona hii vita itakua ngumu sana maana ni tit for tat.
Huu usiku wa leo utakua mrefu zaidi uliko ule wa jana
Kwa maana usiku wa jana tulishuhudia upande mmoja tu ukishambulia leo ni piga nikupige
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…