SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Tangu uzaliwe ulishasikia wazungu wana kabila kama hizo au akili ya propaganda
The mighty Malcom Lumumba anachangia kwenye huu uzi, kitu ambacho ni very rare kuona akikifanya siku hizi.
Badala ya kutuliza makalio, kujifunza kupitia anachokiandika na ikiwezekana umuulize maswali ya kuchokoza au kutia ndimu ubongo wake ili apate appetite ya kuendelea kuchangia na kufanya huu uzi uwe na mvuto zaidi, wewe unaleta mambo ya KIBWABWA!!!
 
 
Wanajiroga zaidi.
Sio wana mpango waseme Wana muendelezo wa kuua raia wa Iran maana walishaanza kuua.
sasa hivishow iko Iran, Ayatollah ameshasepa, wananchi wanaandamana kuishukuru Israel, waisrael wameitawala anga ya Iran, na kucgaua targeta wazipendazo
 
Netanyahu anadai eti Iran inataka kupeleka silaha ya nyuklia Yemen

Mara eti Iran inataka kuilipua marekani

Mara Iran inapanga kumuua Trump

Huyu huyu anatuambia anaizuia Iran isimiliki Nyuklia kwani Iran inakaribia kumiliki nyuklia

Jamaa ni liongo na tapeli kupindukia

Huyu ndo musiba wa Israel

This man is sick!!!!!!

View attachment 3371292
 
we. ni mpumbavu Ashkenazi ni jina sio kabila
Wakati huo hakukuwa na taifa la israel wala ibrahim alikua hajazaliwa
“ndo shida ya madrasa bila elimu”


Sijui watoto wa madrasa tuliwakosea nini nyinyi!

Unashindwa kujibu hoja za Profesa MALCOM LUMUMBA unatuparamia watoto wa Madrasa.

Tatizo nini?

Halafu why unafikiri tunaowapinga dola la kishetani la kizayuni ni sisi watoto wa Madrasa tu?

Sasa ukija kukutana na sisi tunaowapinga mazayuni na dola yao, akina khamenei (neo Safavid Republic of Iran), Urusi, China, Ukraine, North Korea, na Marekani, si utachanganyikiwa zaidi, ilhali na wewe umeshakariri?
 
IRAN TAYARI WANALO BOMU LA NYUKILIA
NETANYAHU SIO MWEHU ANACHOFANYA Nİ KUMPIGA ADUI KABLA HAJAKUMALIZA NA NDICHO ANACHOFANYA ANALENGA MAENEO YOTE YENYE POSSIBILITY YA KUWA NA HUO MZIGO.
 
wenzako Iran wanasherehekea mtaani kukombolewa na Israel, wewe bado uko na AYATOLLAH aliyeji-exile???

View: https://www.tiktok.com/@quiztimeusa0/video/7516081053082209558?is_from_webapp=1&sender_device=pc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…