Tulia,kuna wateule feki wanapekuliwa tuone nyeti
Kinachokera ikitokea umepita kwa bahati mbaya kwenye ili jukwaa na kusoma ujinga.
Washabiki wa Jews, hawajui hata ideology na kuelewa Jews ni nani.
Namna pekee Israel inaweza infiltrate na kupata data za kushambulia ni kupitia Iranian Jews walio serikalini.
Two Israel ministers ambao wapo sanctioned na west kutokana na misimamo yap mikali mmoja ana asili ya Iraq na mwingine Palestine mixed na German Jew.
Najua hiyo sio habari tosha, kuelewa huo ugomvi. Uhitaji biblia unahitaji kujua what it means being na Jews ni watu gani.
Ukishaelewa hayo mambo, wewe kama mwafrica ndio utajua ujinga wako kujiingiza (either unakubaliana nao au la).
That’s a Middle East ideological war, which goes back centuries, vinginevyo mpaka leo Yemen kuna Jews.
Ndio maana ukisoma hizi mada za JF ni ujinga mtupu; wengi hawaelewi what Israel is all about.
Wengi wenu hamjui what this war is all about. just shallow people. Hamjui hata hao Jews ni nani (60% ya mawaziri wa Israel leo asili yao ni waarabu).
Ni mataahira tu wa Africa ambao hamjui nini kinaendelea duniani; hata hivyo vitabu vyenu vya dini amjavisoma kwa kina.
Sisi wengine ndio maana uwa atupendi kuchangia kwenye ili jukwaa kwa sababu wengi wenu ni wajinga watupu.
Ndio ukweli