Michael Andrew Jr
JF-Expert Member
- Jul 1, 2020
- 219
- 665
Braza kwanini Nato vikao ni vingi kuliko vitendo? Majeshi ya mvamizi yapo Ukraine mpaka leo, hatujui wataondoka lini... kwann NATO wasiingie ndani kuwatoa?HII VITA TUNAIMALIZA NDANI YA SIKU TATU...
Walisikika ma generali wa Putin wanaoishi gongo la mboto ulongoni.
Ni ipi mipaka ya NATO kutoa misaada ya kijeshi kwa nchi asiye mwanachama na kwanini mipaka hiyo iliwekwa?Braza kwanini Nato vikao ni vingi kuliko vitendo? Majeshi ya mvamizi yapo Ukraine mpaka leo, hatujui wataondoka lini... kwann NATO wasiingie ndani kuwatoa?
Ila beberu na washirika wake wanatesekaje huko walipo🤸HII VITA TUNAIMALIZA NDANI YA SIKU TATU...
Walisikika ma generali wa Putin wanaoishi gongo la mboto ulongoni.
Z for every body unakuta lijinga limoja limekazana jeshi la urusi halina chakula hivi utawezaje wapa watoto wa jirani chakula ilihali wako wananjaa kuu f##k ovvv wale wote wanaopotoshwa na CNN na BBCNenda nawe kajipange kwenye msururu wa foleni huko Ukraine upate msaada wa kibox cha chakula kama wenzako waliozingirwa kwa mwezi sasa na wakachakazwa sawasawa na majeshi ya Russia
View attachment 2163655View attachment 2163656
View attachment 2163657
AKILI UNAZO LAKINI?? NATO AINGIE KAMA NANI? UKRAINE UNAJUA KUWA SIO MWANACHAMA WA NATO?? ACHA KUFIKIRI KWA KUTUMIA UBONGO WA NYUMABraza kwanini Nato vikao ni vingi kuliko vitendo? Majeshi ya mvamizi yapo Ukraine mpaka leo, hatujui wataondoka lini... kwann NATO wasiingie ndani kuwatoa?
Nachelea kusema wengi wao ni vilazaZ for every body unakuta lijinga limoja limekazana jeshi la urusi halina chakula hivi utawezaje wapa watoto wa jirani chakula ilihali wako wananjaa kuu f##k ovvv wale wote wanaopotoshwa na CNN na BBC
Huyo mtoto mdogo achana nae,yeye anajua NATO imeundwa kwa ajili ya kupigana na Urusi tuu bila principle na sheria. Ndio maana nimemwambia akikua ataacha.Ni ipi mipaka ya NATO kutoa misaada ya kijeshi kwa nchi asiye mwanachama na kwanini mipaka hiyo iliwekwa?
Nimekwambia ukikua utaachaMawazo ya wenzako ni utoto, mawazo yako wewe ndio facts? Kama hupendi nnachoandika log out JF usinione. Usilete udikteta hapa, JF sio ya babako
Ni mara ya kwanza kwa hypersonic missile kutumika toka dunia kuumbwa, ikumbukwe lina range ya zaidi ya 2000km maana yake tayari lime leta tumbojoto kwa NATO.Hiyo hypersonic imemsaidia nini Urusi mpaka muda huu?
HII VITA TUNAIMALIZA SIKU TATU😂😂😂Masikini Zelensky wanamuacha mkiwa na vimisaada uchwara. Tunaomba Nato waingie Ukraine kumzima Putin, maana huyu Putin amezidi ubabe.
Hasara inayoendelea pale ukraine, ni tofauti na propaganda za media. Ndio maana Zelensky anaomba msaada kila leo.
Ni mtoto mdogo? Aisee, Ookey.Huyo mtoto mdogo achana nae,yeye anajua NATO imeundwa kwa ajili ya kupigana na Urusi tuu bila principle na sheria. Ndio maana nimemwambia akikua ataacha.
kama inawaka moto kwanini uquote comment yangu 😂😂😂GANGA ZUMBA NA UZUMBUKUKU WAKE ......BICHWA KUBWA HALINA KITU ....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
......ukraine yote inaungua we unatuletea vipicha viwili vitatu vya makamanda wa urusi hiyo ndo kazi yao wameondoka kishujaa ....ebu leta na picha au video za ukraine zenye sehemu ambazo ni salama kwa raia kukimbilia ndani ya hiyo nchi ....weka hata kapicha kamoja hapa ......yukrain inawaka moto .....[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Kakimbia na kuwaacha kwenye mataa wanato.Update baada ya mkutano wa jana wa NATO, G7 na US.
Biden told world leaders in Brussels the US would "respond" if Russia uses chemical or biological weapons in Ukraine
hii vita ni ngumu kwa Mrusi, inavyoonekana kashawekwa mtu kati - mchina na Korea kaskazini si wa kutegemea hao wakati wa matatizo.Vita hii ingekuwa imeshaisha Kama Rais wa Ukraine angeachia madaraka yake, pia na NATO kuacha kumpa siraha Ukraine.