President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Mrusi anafanya operation maalum ya kijeshi. Imeingia mwezi wa pili sasa, nadhani wanachokitaka ni Urusi atumie muda mrefu akiendelea na operation kwa maslahi yao, sasa hizo weapons zitamaliza operation haraka.Kwahiyo akiendelea kuua kwa style hii ya sasa hataingilia?
Gadafi akitumia chemical na biological weapons ndio maana US. alirespond?
Mjomba naomba kuuliza, Nato waliingia libya kama nan? Gadafi alirusha bomu kwa mwanachama wa Nato?AKILI UNAZO LAKINI?? NATO AINGIE KAMA NANI? UKRAINE UNAJUA KUWA SIO MWANACHAMA WA NATO?? ACHA KUFIKIRI KWA KUTUMIA UBONGO WA NYUMA
NATO HAINA SABABU ZA MSINGI KUINGILIA VITA ILA NA KAMA ANAWEZA AJARIBU KUTUPA BOMU HATA KWA BAHATI MBAYA KWA MOJA WA WASHIRIKA WA NATO, UTAONA MZIKI
HII VITA TUNAIMALIZA SIKU TATU[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MWEZI SASA UNAISHA
vipi kuhusu sahara magharibi kutawaliwa kimabavu na morocco?Walipoenda libya walizingatia hiyo mipaka?
Ukraine was chosen as a tool to suppress Russian independence, Lavrov said.
Galip SV View attachment 2161533
Acha gadafi auwawe maana alimsaidia Nduli Idd Amini kijeshi na silaha kwenye vita ya kageraMjomba naomba kuuliza, Nato waliingia libya kama nan? Gadafi alirusha bomu kwa mwanachama wa Nato?
Kikao cha dharula cha nato jana kuijadili ukraine, je walijadili ukraine kama nani? Ikiwa si mwanachama?
Na je wanatoa misaada ya nini? Ndio maana tunasema waingie wakapigane, wasitume silaha tu.
Swali la mwisho, je Nato ni kikundi mchongo cha waoga?
Mnatuwekea pic za watoto mbona?Hawajui lolote hawaKuna hizi pia ulishazipata?View attachment 2162839View attachment 2162840
Mjomba naomba kuuliza, Nato waliingia libya kama nan? Gadafi alirusha bomu kwa mwanachama wa Nato?
Kikao cha dharula cha nato jana kuijadili ukraine, je walijadili ukraine kama nani? Ikiwa si mwanachama?
Na je wanatoa misaada ya nini? Ndio maana tunasema waingie wakapigane, wasitume silaha tu.
Swali la mwisho, je Nato ni kikundi mchongo cha waoga?
Hawawezi kulijibu swali hili.Mjomba naomba kuuliza, Nato waliingia libya kama nan? Gadafi alirusha bomu kwa mwanachama wa Nato?
Kikao cha dharula cha nato jana kuijadili ukraine, je walijadili ukraine kama nani? Ikiwa si mwanachama?
Na je wanatoa misaada ya nini? Ndio maana tunasema waingie wakapigane, wasitume silaha tu.
Swali la mwisho, je Nato ni kikundi mchongo cha waoga?
Mjomba yule dogo ana hoja, ikiwa Ukraine si mwanachama na Nato hawezi kumsaidia, je kwanini wanatuma misaada? Kwanini wanakaa vikao vya dharula kujadili?Huyo mtoto mdogo achana nae,yeye anajua NATO imeundwa kwa ajili ya kupigana na Urusi tuu bila principle na sheria. Ndio maana nimemwambia akikua ataacha.
Ninavyoona mm ni hawataki kuimaliza hii vita na kuanzisha vita ya dunia na pia hawataki mrusi aache kupigana, ndio sababu ya kutoa msaada ulio na lengo la kurefusha maisha ya uwezo wa kudefence wa Ukraine na si kushinda.EU wanatamani hata leo vita iishe, ila hawana uwezo huo wa kuifupisha/maliza kwa kuwa ni madhaifu
Ila huyo dogo anakera, ila ana ukweli na hoja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mjibuni kwa hoja.Nimekwambia ukikua utaacha
So?HII VITA TUNAIMALIZA SIKU TATU[emoji23][emoji23][emoji23]
MWEZI SASA UNAISHA[emoji23][emoji23][emoji23]
So long as Hawa Ni BBC hizi Ni propaganda tuBBC:
Majeshi ya Russia tayari yameukamata mji wa Izyum uliopo kwenye mkoa wa Kharkiv, Ukraine.
View attachment 2162876
Hao vijana wa US ni wapiga nyeto au magasho mwanaume unajiita coco serious?
tukakaa hivi hivi kwamba hizi ni propaganda kumbe mambo yamebadilika - hakuna yoyote aliyedhani vita hii itakuchukua siku 30 - hata Putin mwenyewe haamini.So long as Hawa Ni BBC hizi Ni propaganda tu
Safi Sana,Nina Kilimanjaro zake 5 bariiiiidi.Yap,huyo ni deadliest Sniper kazi yake ni moja tuu kuwala vichwa Majenerali wa Russia.
Huenda tabia ya kufungua duka la nyama sababu jirani alifungua duka la nyama ndiyo inayotuongoza kufikiri hivi. Au kununua Ist sababu wengine wanazo. Ninachomaanisha ni kufanya jambo kwa mtindo ule ule uliofanyika kabla sababu ndivyo ulivyofanyika.Mjomba naomba kuuliza, Nato waliingia libya kama nan? Gadafi alirusha bomu kwa mwanachama wa Nato?